
SALA YA MTAKATIFU INYASI
Roho ya Kristo unitakaseMwili wa Kristo uniokoeDamu ya Kristo unifurahisheMaji ya ubavu wake Kristo yaniosheMateso ya Kristo nguvu yanizidishieEe Yesu mwema uniβ¦
Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Roho ya Kristo unitakaseMwili wa Kristo uniokoeDamu ya Kristo unifurahisheMaji ya ubavu wake Kristo yaniosheMateso ya Kristo nguvu yanizidishieEe Yesu mwema uniβ¦

Kwa jina la Babaβ¦..Ee Baba yetu Mungu mkuu,umenilinda usiku huu.Nakushukuru kwa moyo, ee Baba,Mwana na Roho.Nilinde tena siku hii,niache dhambi nikutii.Naomba sβ¦

Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji mwema Kwa ajili ya makardinali na maaskofu wakuu; Uwape moyo wa kichungaji ee Bwana Kβ¦

Namna ya kusali Rozari kwa Bikira Maria Mama wa Msaada wa Daima(Tumia rosari ya kawaida)Mwanzo, kwenye Msalaba:Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifuβ¦

Ee Bwana Mungu, utujalie sisi watumishi wako afya ya roho na mwili siku zote; na kwa maombezi matukufu ya Maria Mtakaatifu Bikira daima, tuopolewe na mashaka yaβ¦

Yesu, Mungu wangu mpenzi,/ upo hapa katika Altare mbele yangu;/ na mimi napiga magoti mbele yako.// Waniangalia sana,/ siyo kwa kunipeleleza,/ lakini kwa sababuβ¦

Ufuatao ni mtiririko wa Novena ya Roho Mtakatifu kwa siku zote tisa.Kusali novena hii unaanza nia wimbo/nyimbo kisha unasali sala ya kila siku na kumalizia na lβ¦

Ee Yesu, kupitia mikono safi ya Bikira Maria, na kwa maungano na sadaka yako kuu, ninakutolea sala, matendo, kazi, masumbuko, na furaha zangu zote za siku hii yβ¦

Atukuzwe Babana Mwanana Roho MtakatifuKama mwanzona sasa,na siku zote,na milele.Amina.

Sala hii ilipatikana katika mwaka wa hamsini wa Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristu. Mnamo mwaka 1505 Baba Mtakatifu alimtumia sala hii Mfalme Charles wakati alipβ¦

Mungu wangu ninatubu sana, niliyokosa kwako, kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza, wachukizwa na dhambi, basi sitaki kukosa tena, nitafanya kitubio, naombaβ¦

Bwana utuhurumie Bwana utuhurumieKristo utuhurumie Bwana utuhurumieBwana utuhurumie Bwana utuhurumieKristo utusikie β Kristo utusikilizeMungu Baba wa Mbinguni, β¦

Ee Mt. Yosefu mwenye heri, tunakimbilia kwako katika masumbuko yetu, na kisha omba shime ya Mchumba wako Mtakatifu, tunaomba pia kwa matumaini usimamizi wako. Kβ¦

1. NDIMI BWANA MUNGU WAKO, USIABUDU MIUNGU WENGINE.2. USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO.3. SHIKA KITAKATIFU SIKU YA MUNGU.4. WAHESHIMU BABA NA MAMA, UPATE MIAKAβ¦

TUWAZE KATIKA MOYO WETU MAKOSA YA LEO TULIYOMKOSEA MUNGU KWA MAWAZO,KWA MANENO, KWA VITENDO NA KWA KUTOTIMIZA WAJIBU (HUSUBIRI KIDOGO)NAKUUNGAMIA MUNGU MWENYEZIβ¦

Ee Moyo Mtakatifu wa Yesu, ninakukimbilia, ninakuja kwako katika mikono yako yenye huruma. Ndiwe tegemeo langu na tumaini langu dhabiti. Ndiwe mwenye dawa ya maβ¦

Mtakatifu Yuda Tadei,/ Mtume Mtakatifu,/ mtumishi mwaminifu na rafiki wa Yesu./ Jina la yule msaliti aliyemwuza Yesu/ limewafanya wengi wakusahau./ Walakini Kanβ¦

Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria, naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Salamu Maria,β¦.Ndimi Mtumishi wa Bwana, nitendewe ulivyonena. Salamu Maβ¦

Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji mwema Kwa ajili ya warithi wa Mitume; Bwana, uwape wawe na uangalifu uliojaa upendo kβ¦

Ee Bikira Maria uliyekingiwa dhambi ya asili, utuombee sisi wenye kukimbilia kwako, uwaombee na wale wasioukimbilia kwako, hasa maadui wa Kanisa Takatifu, na waβ¦

Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu, utulinde katika vita, uwe kinga yetu katika maovu na maoteo ya shetani, Mungu amtiishe, tunaomba sana, nawe Mkuu wa Majeshi ya Mβ¦

Kwa nguvu zangu zote za moyo wangu/ ninakuabudu ee Moyo Mtakatifu/ na Mwabudiwa sana,/ Moyo Mtakatifu wa Bwana wetu Yesu Kristu/ ambao ninataka kumpenda/ na kukβ¦

Sali Atukuzwe 7 kwa heshima ya Malaika 7 wateule ujipatie neema ya kuepa dhambi mbaya saba na kutujaza mapaji saba ya Roho Mtakatifu.

Ee Mtakatifu Teresia wa mtoto Yesu, ulistahili kuitwa Msimamizi wa misioni katoliki za dunia yote. Kumbuka ile tamaa yako kuu uliyoonyesha huku duniani ya " kusβ¦