SALA YA KUMWOMBA MTAKATIFU TERESIA WA MTOTO YESU
ποΈ Sala za Katoliki: Sala Muhimu Kwa Mkristu Mkatoliki#sala#Sala kwa Watakatifu#Sala za Maombiπ Kiswahili

Ee Mtakatifu Teresia wa mtoto Yesu, ulistahili kuitwa Msimamizi wa misioni katoliki za dunia yote. Kumbuka ile tamaa yako kuu uliyoonyesha huku duniani ya " kusimika Msalaba wa Yesu Kristu, katika nchi zote na kuhubiri Injili mpaka mwisho wa dunia" . Twakuomba kwa ajili ya maagano yako, wasaidie mapadre, wamisionari, na kanisa zima.
Ee Mtakatifu Teresia wa mtoto Yesu " Msimamizi wa misioni" UTUOMBEE
β
Direct PDF download
The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.