CleanUp 48 SL: Dawa Maalumu ya Kuua Magugu sumbufu. Dawa ya kuandalia Shamba. Haichagui Aina ya Majani.

✍️ Melkisedeck Leon ShineπŸ“… 2022-04-04 12:27:06πŸ’¬ 0 comments⏱️ ~1 min read
πŸ“„ PDF

Ina Glyphosate isopropylamine salt 480g/L

Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kuulia Magugu. Ni dawa ya kuandalia Shamba.

Dawa hii inaangamiza Magugu Aina zote shambani. Sio Kwa ajili ya palizi.

Imetengenezwa katika Ubora wa Hali ya Juu Ili kukuhakikishia matokeo mazuri unapotumia dawa hii.

Bidhaa hii inaletwa Kwako na Kampuni yaΒ BareFoot International Limited. Wauzaji na wasambazaji waΒ bidhaa Bora za Kilimo Tanzania.

Mawasiliano

Simu:

+255 756 914 936

β€”

WhatsApp:

+255 756 914 936

β€”

Email:

info@bfi.co.tz

β€”

NB: Tunapatikana Mikoa Yote Tanzania

πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

0 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
No comments yet.