CleanUp 48 SL: Dawa Maalumu ya Kuua Magugu sumbufu. Dawa ya kuandalia Shamba. Haichagui Aina ya Majani.
ποΈ Pembejeo Bora za Kilimo: Bidhaa za Kilimo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDFπ Kiswahili

Ina Glyphosate isopropylamine salt 480g/L

Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kuulia Magugu. Ni dawa ya kuandalia Shamba.
Dawa hii inaangamiza Magugu Aina zote shambani. Sio Kwa ajili ya palizi.
Imetengenezwa katika Ubora wa Hali ya Juu Ili kukuhakikishia matokeo mazuri unapotumia dawa hii.
Bidhaa hii inaletwa Kwako na Kampuni yaΒ BareFoot International Limited. Wauzaji na wasambazaji waΒ bidhaa Bora za Kilimo Tanzania.
Mawasiliano
Simu:
+255 756 914 936
β
WhatsApp:
+255 756 914 936
β
Email:
info@bfi.co.tz
β
NB: Tunapatikana Mikoa Yote Tanzania
β
Direct PDF download
The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.