Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni pamoja na kumaliza hamu bila ya kujamiiana au kuchukua tahadhari kwa maana ya kutumia kondomu wakati wa kujamiiana.
Kumaliza hamu bila ya kujamiiana ni pamoja na kupiga busu, kukumbatiana, na kupiga punyeto. Vyote hivyo ni vitendo salama kabisa. Kama utajamiiana (kwa maana uume unaingizwa ukeni), ni lazima uhakikishe kuchukua tahadhari muhimu za kinga. Moja ya tahadhari inaweza kuwa wote ni waaminifu kabisa, lakini jambo hili linahitaji nyie wote wawili kuwa waaminifu na kuwa wote muwe mmepima virusi vya UKIMWI na pia msiwe mmefanya ngono hapo kabla (hamkuwa na uhusiano wa kimwili na mtu yeyote kabla. Tahadhari nyingine ni kutumia kondomu. Kondomu inazuia mimba pamoja na magonjwa ya zinaa na uambukizi wa Virusi vya UKIMWI.
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni pamoja na kumaliza hamu bila ya kujamiiana au kuchukua tahadhari kwa maana ya kutumia kondomu wakati wa kujamiiana. Kumaliza hamu bila ya kujamiiana ni pamoja na kupiga busu, kukumbatiana, na kupiga punyeto. Vyote hivyo ni vitendo salama kabisa. Kama utajamiiana (kwa maana uume unaingizwa ukeni), ni lazima uhakikishe kuchukua tahadhari muhimu za kinga. Moja ya tahadhari inaweza kuwa wote ni waaminifu kabisa, lakini jambo hili linahitaji nyie wote wawili kuwa waaminifu na kuwa wote muwe mmepima virusi vya UKIMWI na pia msiwe mmefanya ngono hapo kabla (hamkuwa na uhusiano wa kimwili na mtu yeyote kabla. Tahadhari nyingine ni kutumia kondomu. Kondomu inazuia mimba pamoja na magonjwa ya zinaa na uambukizi wa Virusi vya UKIMWI.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Habari wapenzi wa blogu yetu! Leo, tutazungumzia suala la ngono na wakati bora wa kufanya mapenzi. Je, watu wanapendelea kufanya mapenzi ya asubuhi auβ¦
Je, katika kujaribu fantasia za ngono/kufanya mapenzi pamoja na mwenza wako? Hii ni mada ambayo inaonekana kama ni ya kibinafsi sana, lakini ni muhimuβ¦
Siyo haki kwa mtoa huduma wa afya kukataa kumtibu.Kama kijana, una haki sawa ya kutibiwa kama vile mtu yoyote.Iwapo mtoa huduma anakataa kukutibu weweβ¦
Mara nyingine siyo rahisi kujiepusha na vishawishi vya kujamiiana bila kutumia kondomu kutokana na msukumo wa mpenzi wako. Lakini kumbuka kwamba siyo β¦
Kama mpenzi wako hatakuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa hakuna madhara ya kiafya. kama shahawa i itagusana na mdomo wa msichana. Lakini, wasichanβ¦
Kutumia fedha nyingi kupata muda mzuri na msichana siyo lazima. Kuna njia nyingi za kuwa na muda mzuri na msichana bila kutumia fedha nyingi. Hapa chiβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate