Hata kama utafanya kila kitu usibakwe bado inaweza ikatokea.
Ubakaji na unyanyasaji wa ujinsia unaweza kutokea kwa kila mtu.
Hata hivyo kuna baadhi ya vitu ambavyo vinaweza kupunguza
hatari ya kubakwa.
Jizuie usiwe peke yako kwenye giza, kutembea peke yako
katika misitu au sehemu ambazo zina watu wachache, kuchota
maji sehemu ya mbali. Hakikisha kuwa kuna watu karibuni wa
kukusaidia iwapo kuna hatari. Pia jihadhari na watu walevi na
sehemu ya kunywea pombe maana watu walevi wanaweza wakawa
hatari. Iwapo umelazimika kufanya kazi katika mazingira
ya hatari, jaribu kujadili tatizo hili na wazazi wako au mtu
unayemwamini na muulize huyu mwanamume au mwanamke
azungumze na wazazi wako.
Usikubali zawadi au upendeleo, kama unafikiri unapewa wewe
kwa kubadilishana na ngono. Kama unajisikia unatishwa jaribu
kukimbia na piga kelele kwa kutafuta msaada mara moja.
Utafiti umeonyesha kuwa wasichana au wanawake ambao kwa
ushupavu wanasema hapana na ambao wanathubutu kupiga
kelele na kuvutia hisia za wengine wakati wanaposhambuliwa
wana hatari kidogo ya kubakwa. Unapokuwa unajitetea kwa
uhakika unapoanza unachopenda na usichopenda, ni sehemu
muhimu ya kujilinda.
Hata kama utafanya kila kitu usibakwe bado inaweza ikatokea. Ubakaji na unyanyasaji wa ujinsia unaweza kutokea kwa kila mtu. Hata hivyo kuna baadhi ya vitu ambavyo vinaweza kupunguza hatari ya kubakwa. Jizuie usiwe peke yako kwenye giza, kutembea peke yako katika misitu au sehemu ambazo zina watu wachache, kuchota maji sehemu ya mbali. Hakikisha kuwa kuna watu karibuni wa kukusaidia iwapo kuna hatari. Pia jihadhari na watu walevi na sehemu ya kunywea pombe maana watu walevi wanaweza wakawa hatari. Iwapo umelazimika kufanya kazi katika mazingira ya hatari, jaribu kujadili tatizo hili na wazazi wako au mtu unayemwamini na muulize huyu mwanamume au mwanamke azungumze na wazazi wako. Usikubali zawadi au upendeleo, kama unafikiri unapewa wewe kwa kubadilishana na ngono. Kama unajisikia unatishwa jaribu kukimbia na piga kelele kwa kutafuta msaada mara moja. Utafiti umeonyesha kuwa wasichana au wanawake ambao kwa ushupavu wanasema hapana na ambao wanathubutu kupiga kelele na kuvutia hisia za wengine wakati wanaposhambuliwa wana hatari kidogo ya kubakwa. Unapokuwa unajitetea kwa uhakika unapoanza unachopenda na usichopenda, ni sehemu muhimu ya kujilinda.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Habari za leo rafiki yangu! Leo tutazungumzia jambo muhimu sana kwenye uhusiano wa mapenzi, ambalo ni mazoezi ya kujiongeza nguvu wakati wa ngono. Kwaβ¦
Hakuna kiwango cha umri kwa kutumia huduma za afya ya uzazina njia za uzazi wa mpango. Unatakiwa kuanza kutumia hudumaza afya ya uzazi pale unapoona uβ¦
Pamoja na matatizo ya kuona, ngozi ya Albino ni rahisi sanakudhurika kwa mionzi ya jua. Hatima yake ikiwa ni uwezekanomkubwa wa kupata saratani ya ngoβ¦
Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Hatia Baada ya Kufanya Ngono Karibu vijana wapendwa! Leo, nataka kutafakari juu ya jambo ambalo linaweza kutokea katiβ¦
Sheria kuhusu utoajimimba zinatofautianakati ya nchi na nchi. HapaTanzania utoaji mimbani kosa la jinai.5 Kosa lajinai linamchukulia mtuhatua aliyetoaβ¦
Siyo watu wote katika jamii wanawachukia au kuwatenga Albino.Wazazi, ndugu zenu, rafiki zenu wanawapenda na kuwajali. Nijambo la kawaida kwa watu wa aβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate