Kwa kawaida urefu wa uume ambao haujasisimuka kwa wastani ni kati ya sentimeta 7 na 10, na uume uliosimama ni sentimeta 13 hadi 18. Si lazima kwamba maumbile ya mtu yawiane na viungo vya uzazi.
Na vile vile katika kujamii ana, jambo la vipimo vya uume si la msingi. Kilicho muhimu ni afya nzuri ya watu wote wawili na kupendana kwao wenye uhusiano. Urefu wa uume si muhimu, kwa sababu sehemu nyingi zinazomridhisha mwanamke haziko ndani ya uke. Kuridhika au kutoridhika wakati wa kujamii ana hakutegemei urefu wa uume!
Kwa kawaida urefu wa uume ambao haujasisimuka kwa wastani ni kati ya sentimeta 7 na 10, na uume uliosimama ni sentimeta 13 hadi 18. Si lazima kwamba maumbile ya mtu yawiane na viungo vya uzazi. Na vile vile katika kujamii ana, jambo la vipimo vya uume si la msingi. Kilicho muhimu ni afya nzuri ya watu wote wawili na kupendana kwao wenye uhusiano. Urefu wa uume si muhimu, kwa sababu sehemu nyingi zinazomridhisha mwanamke haziko ndani ya uke. Kuridhika au kutoridhika wakati wa kujamii ana hakutegemei urefu wa uume!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Uaminifu ni tabia muhimu sana katika uhusiano wako na msichana. Kama unataka uhusiano wako ufanye kazi, ni lazima uwe na uaminifu mwingi. Katika makalβ¦
Jinsi ya Kujikinga na Mimba Kwa Ufanisi π Karibu vijana wenzangu! Leo, tutajadili njia za kujikinga na mimba kwa ufanisi. Kama wewe ni kijana mwenye nβ¦
Hakuna kipimo rahisi cha kuwezesha kuonyesha kama mamamjamzito amebeba kinasaba cha ualbino. Lakini uwezekano upo,kama wazazi watakuwa wamepata mtoto β¦
Upendo ni hisia ambazo zinafanya maisha kuwa na maana zaidi. Kila mtu anapaswa kupata upendo, na ni muhimu kutambua ishara za upendo kutoka kwa mtu amβ¦
Wakati wa kutumia kondomu ya kiume ni muhimu kufuata hatua zifuatazo. Hakikisha kwamba pakiti inayoihifadhi haijapasuka na kwamba tarehe ya kuisha mudβ¦
Jinsi ya Kuwa na Mawasiliano ya Wazi na Msichana Wako Ndoa ni muunganiko wa wawili kuwa kitu kimoja, na mawasiliano ya wazi na msichana wako ndio chacβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate