Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi. Chembechembe nyeupe zilizopo katika damu ya mwili mzima wa binadamu zina kazi maalum katika kuhakikisha kinga ya mwili i i ipo. Kama askari jeshi wanaolinda nchi yao, chembechembe hizo kwa pamoja zinalinda mwili dhidi ya magonjwa. Hivyo, kama chembeche-mbe hizo zikishambuliwa, mwili hauwezi kujikinga na maradhi au magonjwa.

π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Hapa Tanzania matumizi, umilikaji, usafirishaji na kuhusika katika dawa za kulevya kama vile bangi, hiroini, kokaini na mirungi yamepigwa marufuku. Hiβ¦
Kutumia Kinga Hupunguza Hatari za Maambukizi ya Ngono Kutumia kinga ni hatua muhimu katika kujilinda na maambukizi ya magonjwa yanayotokana na ngono. β¦
Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)? Karibu sana! Leo tutazungumzia suala nyeti kuhusu matumizi ya vipira (IUD) na jiβ¦
Watu wanaweza kuvumisha uongo wowote ili kupotoshaukweli na kufanya mambo yao maovu wanayoyapenda. Wapowanaosema kuwa unaweza kupona UKIMWI kwa kujamiβ¦
Kugusana kwa kutumia viungo vya uzazi ni njia mojawapo ya kuamsha hisia ya kujamii ana. Kama mwanamke anatoa majimaji baada ya kugusana na uume kwenyeβ¦
Njia za Kujenga Hisia za Usalama katika Uhusiano wako na Msichana Hakuna kitu kizuri kama kuwa na uhusiano thabiti na mwenza wako. Usalama na utulivu β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate