Kwa mwanaume, dalili ya kufikia mshindo ni uume kusimama halafu kumwaga manii . Manii kutotoka wakati wa kujamii ana inaweza kusababishwa na mambo mengi. Kutoa manii kunatumia nguvu nyingi za mwili.
Kwa hiyo chochote kile kinachompunguzia mwanaume nguvu za mwili kama vile maradhi mbalimbali, ulevi wa pombe au dawa za kulevya, njaa au lishe duni kunasababisha mwanaume ashindwe kutoa manii . Sababu nyingine muhimu ni kutokuwa tayari kimawazo au kutokuwa na huruma katika tendo la kujamii ana. Kama ulevi ni sababu ya shida yako, jitahidi kuyaacha mambo haya. Jaribu kutulia na kuongeza muda wa kutayarishana kimapenzi mpaka mtakapoona mko tayari.
Kwa mwanamke, kutofikia mshindo pia kuna sababu mbalimbali. Lakini mara nyingi i i inasababishwa na kutokuwa na subira katika maandalizi ya kujamii ana, kutokuwa tayari kimawazo au kuogopa matokeo ya kufanya mapenzi. Mwanamke akiwa tayari kimawazo kwa kujamii ana na mwanaume akijitahidi kumstarehesha vizuri, mwanamke atafikia mshindo bila shida. Pia kuwa wazi juu ya unachokipenda na usichokipenda i inasaidia sana katika kuwa na ngono ya kuridhisha kwenu wote wawili.
Kwa mwanaume, dalili ya kufikia mshindo ni uume kusimama halafu kumwaga manii . Manii kutotoka wakati wa kujamii ana inaweza kusababishwa na mambo mengi. Kutoa manii kunatumia nguvu nyingi za mwili. Kwa hiyo chochote kile kinachompunguzia mwanaume nguvu za mwili kama vile maradhi mbalimbali, ulevi wa pombe au dawa za kulevya, njaa au lishe duni kunasababisha mwanaume ashindwe kutoa manii . Sababu nyingine muhimu ni kutokuwa tayari kimawazo au kutokuwa na huruma katika tendo la kujamii ana. Kama ulevi ni sababu ya shida yako, jitahidi kuyaacha mambo haya. Jaribu kutulia na kuongeza muda wa kutayarishana kimapenzi mpaka mtakapoona mko tayari. Kwa mwanamke, kutofikia mshindo pia kuna sababu mbalimbali. Lakini mara nyingi i i inasababishwa na kutokuwa na subira katika maandalizi ya kujamii ana, kutokuwa tayari kimawazo au kuogopa matokeo ya kufanya mapenzi. Mwanamke akiwa tayari kimawazo kwa kujamii ana na mwanaume akijitahidi kumstarehesha vizuri, mwanamke atafikia mshindo bila shida. Pia kuwa wazi juu ya unachokipenda na usichokipenda i inasaidia sana katika kuwa na ngono ya kuridhisha kwenu wote wawili.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Suala hili litatagemea na kila mtu anavyopendelea. Baadhi yawatu hupendelea kuacha nywele zao katika hali asilia kamawalivyozaliwa, wengine wanapendelβ¦
Hakuna madhara yoyote ya msingi anayopata mtu asipooga baada ya kujamiiana. Isipokuwa kwa ajili ya kutunza usafi, mnashauriwa kunawa via vya uzazi marβ¦
Kwa wanawake wenye miaka zaidi ya 35 uwezekano wa kupata matatizo ya kiafya wakati wa ujauzito au wakati wa kujifungua ni mkubwa zaidi kuliko wanawakeβ¦
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Ujasiri kuhusu Ngono? π Karibu kwenye makala hii ambayo inalenga kukupa ushauri wa kitaalamu kuhusu jinsi ya β¦
Kila mtu anataka kuwa na mvuto wa kipekee kwa msichana. Lakini je, unajua jinsi ya kuwa na mvuto huo? Ni rahisi sana, na leo nitakupa vidokezo kadhaa β¦
Upendo ni hisia ambazo zinafanya maisha kuwa na maana zaidi. Kila mtu anapaswa kupata upendo, na ni muhimu kutambua ishara za upendo kutoka kwa mtu amβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate