Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha. Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi kuacha. Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi. Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Uaminifu ni tabia muhimu sana katika uhusiano wako na msichana. Kama unataka uhusiano wako ufanye kazi, ni lazima uwe na uaminifu mwingi. Katika makalβ¦
Kuna aina kondomu za ukubwa mbalimbali. Kwa wastani ukubwa wa kondomu unafaa kwa wanaume watu wazima karibu wote na vijana balehe waliokomaa. Mara chaβ¦
Ngozi ya Albino haina jinsi ya kujilinda na mionzi ya jua. Inaunguasana baada ya kupatwa na jua na ngozi huwasha na kuuma. Ngoziya Albino inajitahidi β¦
Iwapo mtu amelazimishwakuingia katika hali ya ndoa(kuoa/kuolewa) na msichana/mvulana ambaye hampendi,hatua ya kwanza ni kukataandoa hiyo na kuonyesha β¦
Mapenzi ni kitu muhimu sana katika maisha ya kila mwanadamu, na kwamba uhusiano wa kimapenzi ni sehemu muhimu ya maisha. Ili kuweka uhusiano wako na mβ¦
Jinsi ya Kupata Msichana Mzuri na Sifa za Ndani za Thamani Kupata msichana mzuri na sifa za ndani za thamani ni ndoto ya kila mwanamume. Lakini je, unβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate