Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wiki 12 za mwanzo wa ujauzito. Sababu kuu hutokana na kuharibika kwa yai lililotungwa mimba. Iwapo yai lingeendelea kukua katika hali hii matokeo ni mtoto kuzaliwa na kasoro mwilini au kiakili. Kwa hiyo mimba kuharibika inaweza kuwa ni njia ya asili ya mwili kukabiliana na matatizo hayo ya kimaumbile.
Vilevile kuharibika kwa mimba huweza kutokea kama mama ana magonjwa kama malaria au kaswende, kama ameanguka chini kwa nguvu au kama ana matatizo kwenye via vya uzazi. Dalili za mimba kuharibika ni damu kutoka ukeni na maumivu makali ya tumbo kwa chini.
Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wiki 12 za mwanzo wa ujauzito. Sababu kuu hutokana na kuharibika kwa yai lililotungwa mimba. Iwapo yai lingeendelea kukua katika hali hii matokeo ni mtoto kuzaliwa na kasoro mwilini au kiakili. Kwa hiyo mimba kuharibika inaweza kuwa ni njia ya asili ya mwili kukabiliana na matatizo hayo ya kimaumbile. Vilevile kuharibika kwa mimba huweza kutokea kama mama ana magonjwa kama malaria au kaswende, kama ameanguka chini kwa nguvu au kama ana matatizo kwenye via vya uzazi. Dalili za mimba kuharibika ni damu kutoka ukeni na maumivu makali ya tumbo kwa chini.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mara nyingi utunguaji mimba nje ya mfuko wa uzazi hutokea kwa sababu ya maradhi kwenye via vya uzazi. Maradhi hayo huharibu mirija ya kupitisha mayai.β¦
Njia za Kujenga Ushawishi na Msichana katika Uhusiano Kuwasiliana kwa Ukaribu Hakuna kinachoweza kujenga ushirikiano bora kama kuwasiliana kwa karibu β¦
Je, Ni Vipi Kukabiliana na Hisia za Kutokuwa Tayari kwa Ngono? πΊ Suala la hisia za kutokuwa tayari kwa ngono ni jambo la kawaida sana katika ujana, naβ¦
Nifanyeje Kuelewa Hatari na Faida za Ngono kabla ya Kuanza? ππ₯π Karibu kijana! Leo, tutaangazia suala muhimu sana kuhusu hatari na faida za ngono kablβ¦
Katika uhusiano wowote, mvutano ni jambo ambalo huwezi kuliepuka. Hata kama mna furaha nyingi pamoja, bado kuna wakati ambapo mambo yanaweza kugeuka nβ¦
Kama kati ya mwanamke na mwanaume hakuna mwenye magonjwa ya zinaa, hakuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba kujamii ana na mwenzi wake. Mfuko wβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate