1) Weka karai kwenye moto kiasi
2) Tia siagi
3) Tia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka ziwe rangu ya dhahabu.
4) Weka lozi na zabibu huku unakoroga
5) Tia maziwa na huku unakoroga usiachie mkono.
6) Tia arki
7) Epua karai, tumia kijiko cha chai kwa kuchotea na utie kwenye kikombe cha kahawa nusu usikijaze.
8) Kipindue kwenye sahani utoe kileja.
9) Fanya hivyo mpaka umalize vyote.
Viambaupishi Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2 Siagi 4 Vijiko vya supu Maziwa (condensed) 300Ml Lozi zilizokatwakatwa 1 kikombe Zabibu kavu 1 Kikombe Arki (essence) 1 Kijiko cha supu Jinsi ya kuandaa na kupika 1) Weka karai kwenye moto kiasi 2) Tia siagi 3) Tia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka ziwe rangu ya dhahabu. 4) Weka lozi na zabibu huku unakoroga 5) Tia maziwa na huku unakoroga usiachie mkono. 6) Tia arki 7) Epua karai, tumia kijiko cha chai kwa kuchotea na utie kwenye kikombe cha kahawa nusu usikijaze. 8) Kipindue kwenye sahani utoe kileja. 9) Fanya hivyo mpaka umalize vyote.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;Tafuta mahali pazuri pa-kuningβiniza mzinga wako.Weka nta kwenye mizingaβ¦
Ndoto zingine bwana usiombe zikupateMimi usiku wa kuamkia Leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari Yangu aina ya BMW mpya Mara gafla ikakwama kwenyeβ¦
MAHITAJIMaji baridi β kikombe 1Biskuti za kawaida β paketi 2Kaukau (cocoa) β vijiko 3 vya kuliaKahawa ya unga β kijiko 1 cha kuliaNjugu mchanganyiko zβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate