Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi
ποΈ Dondoo za Mapishi na LisheποΈ Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya#Karibu AckySHINEπ Kiswahili

Viambaupishi
Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2 Siagi 4 Vijiko vya supu Maziwa (condensed) 300Ml Lozi zilizokatwakatwa 1 kikombe Zabibu kavu 1 Kikombe Arki (essence) 1 Kijiko cha supuJinsi ya kuandaa na kupika
1) Weka karai kwenye moto kiasi 2) Tia siagi 3) Tia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka ziwe rangu ya dhahabu. 4) Weka lozi na zabibu huku unakoroga 5) Tia maziwa na huku unakoroga usiachie mkono. 6) Tia arki 7) Epua karai, tumia kijiko cha chai kwa kuchotea na utie kwenye kikombe cha kahawa nusu usikijaze. 8) Kipindue kwenye sahani utoe kileja. 9) Fanya hivyo mpaka umalize vyote.β
Direct PDF download
The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.