Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Hii ndiyo Ladha ya bia zote usiyoijua

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza ๐Ÿบ huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza kooโ€ฆ Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. chupa ya pili ๐Ÿบ๐Ÿบ kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi mbalimbali, siasa, idadi za ajali na kadhalika na wakati huu hata takwimu hutolewa zilizo sahihiโ€ฆ. Mtu anaweza kukutajia wachezaji wote wa ligi daraja la tatu la huko Ujerumani bila kukosea, hata idadi ya wachezaji wa Yanga bila kukosea.. Ila wakati huu kama unaanzisha mashindano ya kucheua ni wakati mzuri kwani bia ya pili huongeza hisia za kucheua. Bia ya tatu ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ huanza kumfanya mnywaji aanze kusikia furaha na pia huu huwa wakati ambapo karanga na korosho huliwa sanaโ€ฆ. Pamoja na mazungumzo kuhusu mpira na siasa, ghafla mazungumzo kuhusu michepuko huanza kujitokezaโ€ฆ.. Bia ya nne ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ huanza kusababisha masikio yaanze kupoteza nguvu za kusikia kwani utaona mnywaji ghafla amepandisha sauti, na ukijumlisha na kuwa baa zetu huwa na muziki una kelele utadhani waliopo wote wana matatizo ya kusikiaโ€ฆ.. bia hii humsaidia kuongea kwa nguvu kushindana na kelele za muziki. Bia ya tano ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ ni hatari kidogo kwani ukiinuka kwenda chooni mara nyingi unarudi hujafunga zipuโ€ฆโ€ฆna kipindi hiki ni kibaya kwa wanywaji wa kike maana unaweza kumkuta akienda chooni akijiangalia kwenye kioo anaanza kulia peke yake na kulalamika; โ€˜Mi sipendwi mpaka leo sijaolewaโ€™ au โ€˜ Mume wangu sijui yukoje hanijaliโ€™ Japokuwa lazima isemwe ukweli ukifikisha bia hii, maisha ni raha sana unaweza ukaanzisha shoo ya kukata mauno katikati ya baa na kudai wewe ni mkali kuliko Shilole. Kuanzia bia ya sita ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ na kuendelea, chochote utakachosema au kufanya ni wazi kesho yake asubuhi utajilaumu sana. โ€ฆโ€ฆ. โ€ฆKuna watu husema ukilewa ndipo unakuwa mkweli, hivyo basi wakati huu hata bosi wako akitokeza unamueleza ukweli jinsi alivyo fala na hajui kuendesha kampuni. Au unasema ukweli jinsi unavyompenda mke wa jirani yako ambaye mmekaa mnakunywa naye. Kimsingi uwezekano wa kutapika pia upo karibu na kama umekaa na mchumba wako huu ni muda ambao pia uchumba unaweza kuvunjikaโ€ฆโ€ฆ.
AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 236

Please log in or register to comment or reply.
๐Ÿ‘ฅ Fredrick Mutiso Guest Jun 21, 2017
๐Ÿ˜† Nacheka hadi chini sasa hivi!
๐Ÿ‘ฅ Neema Guest May 28, 2017
๐Ÿ˜„ Kichekesho gani!
๐Ÿ‘ฅ Francis Mtangi Guest May 9, 2017
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Henry Mollel Guest Apr 9, 2017
Hii imenibamba sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ David Ochieng Guest Mar 20, 2017
Nimecheka hadi machozi yanatoka! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ
๐Ÿ‘ฅ Agnes Sumaye Guest Mar 17, 2017
๐Ÿ˜† Bado nacheka, siwezi kuacha!
๐Ÿ‘ฅ Ruth Mtangi Guest Jan 29, 2017
Kweli mnajua kuchekesha! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ George Mallya Guest Jan 27, 2017
๐Ÿ‘๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Kazija Guest Jan 22, 2017
Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! ๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Peter Mugendi Guest Jan 11, 2017
๐Ÿ˜‚ Siwezi kuacha kucheka na hii!
๐Ÿ‘ฅ Charles Mboje Guest Jan 11, 2017
Hizi jokes zinabamba sana! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Faith Kariuki Guest Dec 4, 2016
Huyu alikuwa na point! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ
๐Ÿ‘ฅ Nancy Kawawa Guest Dec 2, 2016
Brilliant! Muda wake ulikuwa kamili! โฐ
๐Ÿ‘ฅ Esther Nyambura Guest Nov 20, 2016
๐Ÿคฃ Hii imenifanya siku yangu iwe bora kabisa!
๐Ÿ‘ฅ Umi Guest Nov 17, 2016
๐Ÿคฃ Hii kichekesho ni nzuri sana!
๐Ÿ‘ฅ Vincent Mwangangi Guest Nov 13, 2016
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Anna Sumari Guest Oct 20, 2016
๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ
๐Ÿ‘ฅ John Lissu Guest Oct 13, 2016
Nimecheka hadi machozi ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ
๐Ÿ‘ฅ Leila Guest Oct 6, 2016
๐Ÿคฃ Ninashiriki hii sasa hivi!
๐Ÿ‘ฅ Hamida Guest Sep 23, 2016
Hii kichekesho itaingia moja kwa moja kwenye vipendwa vyangu! ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Sharifa Guest Sep 18, 2016
๐Ÿ˜‚ Hii kichekesho imenifurahisha siku nzima!
๐Ÿ‘ฅ Betty Cheruiyot Guest Sep 2, 2016
Hii imenikuna hadi nina furaha! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Mwafirika Guest Aug 31, 2016
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! ๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Mariam Guest Aug 18, 2016
๐Ÿ˜‚ Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
๐Ÿ‘ฅ John Lissu Guest Jul 31, 2016
Napenda jokes zenu! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Carol Nyakio Guest Jul 28, 2016
Nimecheka hadi nimepata furaha! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Ramadhan Guest Jul 18, 2016
๐Ÿ˜ Imeongezwa kwenye vipendwa!
๐Ÿ‘ฅ Omar Guest May 28, 2016
๐Ÿ˜… Bado ninacheka!
๐Ÿ‘ฅ Lucy Kimotho Guest Apr 15, 2016
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„
๐Ÿ‘ฅ Kenneth Murithi Guest Apr 5, 2016
๐Ÿ˜„ Umeshinda mtandao leo!
๐Ÿ‘ฅ Francis Mrope Guest Mar 26, 2016
๐Ÿคฃ Ninaituma sasa hivi!
๐Ÿ‘ฅ Janet Mbithe Guest Mar 3, 2016
Hii joke ni ya kufurahisha! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Monica Nyalandu Guest Feb 21, 2016
Hii ni kali sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Christopher Oloo Guest Feb 14, 2016
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Bahati Guest Jan 29, 2016
๐Ÿ˜ Hii ni hazina ya kichekesho!
๐Ÿ‘ฅ Paul Kamau Guest Jan 21, 2016
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Philip Nyaga Guest Jan 19, 2016
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Jane Muthoni Guest Jan 15, 2016
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ๐Ÿ‘๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Lucy Kimotho Guest Dec 30, 2015
Hii imenipa kicheko cha siku! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Azima Guest Dec 8, 2015
Asante Ackyshine
๐Ÿ‘ฅ Brian Karanja Guest Nov 20, 2015
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Ruth Mtangi Guest Oct 27, 2015
Nimecheka hadi machozi yanatoka! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ
๐Ÿ‘ฅ Agnes Lowassa Guest Oct 26, 2015
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! ๐Ÿ‘๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Maulid Guest Oct 23, 2015
๐Ÿ˜† Ninacheka sana sasa hivi!
๐Ÿ‘ฅ Charles Mchome Guest Oct 2, 2015
๐Ÿ˜„ Umeimaliza kabisa!
๐Ÿ‘ฅ Mary Kidata Guest Sep 5, 2015
๐Ÿ˜‚ Ninaihifadhi hii!
๐Ÿ‘ฅ Salima Guest Sep 4, 2015
๐Ÿ˜‚ Siwezi kusubiri kushiriki hii!
๐Ÿ‘ฅ Latifa Guest Aug 30, 2015
๐Ÿ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
๐Ÿ‘ฅ Jane Malecela Guest Aug 20, 2015
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Joseph Kawawa Guest Jul 20, 2015
๐Ÿ˜„ Kichekesho kamili!
๐Ÿ‘ฅ Joseph Njoroge Guest Jul 19, 2015
Hii imenifurahisha sana! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘ฅ Grace Majaliwa Guest Jul 15, 2015
Hii joke imenikumbusha enzi zile! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Elijah Mutua Guest Jul 11, 2015
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘ฅ Ali Guest Jul 7, 2015
๐Ÿ˜„ Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
๐Ÿ‘ฅ Mwanakhamis Guest Apr 25, 2015
๐Ÿ˜„ Sikutarajia hiyo ikitokea!
๐Ÿ‘ฅ Esther Nyambura Guest Apr 13, 2015
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About