Hata kama ni Mgeni this is too much.
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka.
Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite?
Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate?
Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka.
Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa,
Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali
mchana.
Chezea mgeni ww.!!!
Hata kama ni Mgeni this is too much. Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda? Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka. Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite? Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa. Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate? Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka. Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa, Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali mchana. Chezea mgeni ww.!!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"- OPRAH WINFREY!"Sikumaliza elimu yangu ya Chuo Kikuuβ¦
Wanaume wanajali mavazi yao pia, sio wanawake tu. Ila, mwanaume anabidi aelewe kwamba badala ya kufuata mitindo, kupendeza kwenye tukio lolote kuna ngβ¦
Viamba upishi Unga 4 Vikombe vya chai Sukari ya laini (icing sugar) 1 Kikombe cha chai Baking powder 2 Vijiko vya chai Mayai 2 Siagi au margarine 1 Kiβ¦
Baada ya kusoma makala kuhusu hofu zinazotugharimu katika safari ya mafanikio, Leo nimekuandalia Makala hii ya Siri ya mafanikio. Katika safari ya mafβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate