Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Usipite bila kusoma kisa hiki cha kusisimua

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi.

Dereva kuona hivyo, akasimamisha gari mita 5 kutoka kwenye mtiโ€ฆ Akawaambia abiria, "Humu ndani ya basi, kuna mtu ambaye leo ni siku yake ya kufa, tena kufa kwa radi. Ili tusife wote, nataka kila abiria ashuke akaguse mti ili anayepigwa na radi, apigwe wengine wasife kwa ajili yake. "Abiria wakitetemeka, wakaanza kushuka mmoja mmoja. Unaenda unagusa mti , kisha unarudi kwenye basi. Abiria wote pamoja na dereva mmoja mmoja, wakaenda, wakagusa mti na kurudi bila dhara lolote! Akawa kabaki abiria mmoja tu, ambaye alikuwa hajagusa mti. Abiria wote kwa macho ya hasira wakamwambia akaguse mti. Akawa anaogopa kufa. Akagoma. Wakamlazimisha kwa nguvu sana na kumtoa njeโ€ฆโ€ฆ. โ€ฆโ€ฆ.. Yule abiria akiwa amefumba macho, akaenda akagusa mti. Hamadi bin Vuu! Radi kali sana ikalipiga basi, abiria na wote waliokuwamo, wakafa palepale. Kumbe uwepo wake ndio ulikuwa unazuia abiria wengine wasidhurike na radi.

MAFUNZO

1. Unapofanikiwa, huwezi jua uwepo wa nani umefanikisha mafanikio yako, usichukue sifa zote peke yako. Wapatie na wengine bila kumsahau MUNGU.
2. Unaweza kujiona huna thamani sehemu ulipo, iwe kwenye kundi la WhatsApp, darasani, kazini, kwenye basi, barabarani bila kujua kama uwepo wako ni wa muhimu sana kwa ustawi wa wengine.
3. Usimtenge wala kumnyanyasa mtu au jirani yako, huwezi jua uwepo wake ni kwa ajili gani.

AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 50

Please log in or register to comment or reply.
๐Ÿ‘ฅ Anna Mchome Guest Jul 8, 2024
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
๐Ÿ‘ฅ Joyce Aoko Guest May 4, 2024
Dumu katika Bwana.
๐Ÿ‘ฅ Miriam Mchome Guest Mar 11, 2024
Endelea kuwa na imani!
๐Ÿ‘ฅ Kevin Maina Guest Feb 29, 2024
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
๐Ÿ‘ฅ Samuel Were Guest Oct 30, 2023
Neema ya Mungu inatosha kwako
๐Ÿ‘ฅ Esther Nyambura Guest Oct 22, 2023
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
๐Ÿ‘ฅ Nancy Kabura Guest Sep 18, 2023
Mungu akubariki!
๐Ÿ‘ฅ James Mduma Guest Sep 9, 2023
Wakati wa Mungu ni kamilifu
๐Ÿ‘ฅ Charles Mrope Guest Aug 29, 2023
Rehema zake hudumu milele
๐Ÿ‘ฅ Grace Njuguna Guest Aug 22, 2023
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
๐Ÿ‘ฅ Charles Mboje Guest May 29, 2023
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
๐Ÿ‘ฅ Agnes Lowassa Guest Oct 30, 2022
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
๐Ÿ‘ฅ Margaret Anyango Guest Sep 4, 2022
Tumaini ni nanga ya roho
๐Ÿ‘ฅ Sarah Achieng Guest May 25, 2022
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
๐Ÿ‘ฅ Agnes Njeri Guest Apr 28, 2022
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
๐Ÿ‘ฅ Elizabeth Mrope Guest Apr 11, 2022
Imani inaweza kusogeza milima
๐Ÿ‘ฅ Stephen Malecela Guest Sep 30, 2021
Neema na amani iwe nawe.
๐Ÿ‘ฅ Patrick Mutua Guest Jun 16, 2021
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
๐Ÿ‘ฅ John Lissu Guest Jun 13, 2021
Nguvu hutoka kwa Bwana
๐Ÿ‘ฅ Janet Wambura Guest Dec 9, 2020
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
๐Ÿ‘ฅ Chris Okello Guest Dec 3, 2020
Mwamini Bwana; anajua njia
๐Ÿ‘ฅ Hellen Nduta Guest Nov 29, 2020
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
๐Ÿ‘ฅ Rose Kiwanga Guest Nov 16, 2020
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
๐Ÿ‘ฅ Janet Sumaye Guest Aug 5, 2020
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
๐Ÿ‘ฅ Grace Minja Guest May 24, 2020
Mungu ni mwema, wakati wote!
๐Ÿ‘ฅ John Malisa Guest Dec 7, 2019
Baraka kwako na familia yako.
๐Ÿ‘ฅ Bernard Oduor Guest Jul 10, 2019
Kwa Mungu, yote yanawezekana
๐Ÿ‘ฅ Joseph Kitine Guest Jul 8, 2019
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
๐Ÿ‘ฅ Lydia Wanyama Guest Jun 22, 2019
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
๐Ÿ‘ฅ Michael Mboya Guest May 17, 2019
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
๐Ÿ‘ฅ Elizabeth Mrema Guest Apr 27, 2019
Rehema hushinda hukumu
๐Ÿ‘ฅ Kevin Maina Guest Jan 25, 2019
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
๐Ÿ‘ฅ Lydia Mahiga Guest Sep 5, 2018
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
๐Ÿ‘ฅ Janet Mbithe Guest May 24, 2018
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
๐Ÿ‘ฅ David Musyoka Guest Nov 10, 2017
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
๐Ÿ‘ฅ David Ochieng Guest Aug 9, 2017
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
๐Ÿ‘ฅ Janet Wambura Guest Aug 7, 2017
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
๐Ÿ‘ฅ Lucy Mushi Guest Apr 21, 2017
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
๐Ÿ‘ฅ Samuel Omondi Guest Apr 21, 2017
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
๐Ÿ‘ฅ David Nyerere Guest Nov 20, 2016
Katika imani, yote yanawezekana
๐Ÿ‘ฅ Josephine Nekesa Guest Nov 12, 2016
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
๐Ÿ‘ฅ Anna Malela Guest Sep 29, 2016
Nakuombea ๐Ÿ™
๐Ÿ‘ฅ Janet Mwikali Guest Jul 2, 2016
Sifa kwa Bwana!
๐Ÿ‘ฅ Paul Ndomba Guest Jun 16, 2016
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
๐Ÿ‘ฅ Linda Karimi Guest Nov 29, 2015
Mwamini katika mpango wake.
๐Ÿ‘ฅ Monica Lissu Guest Oct 16, 2015
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
๐Ÿ‘ฅ Nancy Akumu Guest Oct 13, 2015
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
๐Ÿ‘ฅ John Lissu Guest Sep 13, 2015
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
๐Ÿ‘ฅ Nancy Kawawa Guest Aug 16, 2015
Tembea kwa imani, si kwa kuona
๐Ÿ‘ฅ Susan Wangari Guest Jun 19, 2015
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About