Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kaziππ

π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
240 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tuUzuri wako sio sababu ya mimi kukupendaIla nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika. Unaweza kutuβ¦
Asali hutumika kulainisha NgoziAsali ina asili ya kuvuta unyevu kutoka kwenye hewa na kuipa ngozi uwezo wa kuhifadhi unyevu hivyo ni faida kwa mtu mweβ¦
βtulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupandaβKonda- bibi twende sit kibao ata utalalaBibi -β¦
Neno Bwana lina maana gani katika Biblia? Neno Bwana Katika Biblia linamaanisha "Mungu Mtawala" Mapokeo ya Mitume ndiyo nini? Mapokeo ya Mitume ndiyo β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate