Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamkaΒ "Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina"
Kwa kugusa paji la uso tuna maana gani?
Kwa kugusa paji la uso tuna maana ya kukubali kwa akili
Kwa kugusa kifua tuna maana gani?
Kwa kugusa kifua maana yake ni kuupokea na kuukubali msalaba moyoni.
Kwa kugusa mabega tuna maana gani?
Kwa kugusa mabega maana yake ni kuwa tayari kuubeba msalaba kwa nguvu zetu zote
Kwa nini tunafanya Ishara ya Msalaba?
Tunafanya Ishara ya Msalaba kwa nia ya kumkiri Mungu mmoja katika Nafsi Tatu. Pia msalaba ni Ishara ya Ukombozi wetu
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?
Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.
Ishara ya msalaba ni nini? Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka "Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina" Kwa kugusa paji la uso tuna maana gani? Kwa kugusa paji la uso tuna maana ya kukubali kwa akili Kwa kugusa kifua tuna maana gani? Kwa kugusa kifua maana yake ni kuupokea na kuukubali msalaba moyoni. Kwa kugusa mabega tuna maana gani? Kwa kugusa mabega maana yake ni kuwa tayari kuubeba msalaba kwa nguvu zetu zote Kwa nini tunafanya Ishara ya Msalaba? Tunafanya Ishara ya Msalaba kwa nia ya kumkiri Mungu mmoja katika Nafsi Tatu. Pia msalaba ni Ishara ya Ukombozi wetu Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani? Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
51 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
KWANINI TAREHE ZA PASAKA HUBADILIKA KILA MWAKA ??JIBU:KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi waangani kama kipimo cha muda. Ziliitwa βLunarcalenderβ au Kaβ¦
Yafuatayo ni maswali ya kujiuliza ili kujua kama mwanamke anakupenda kweli. Anajitoa kwa ajili yako? Mwanamke anayekupenda atakuwa tayari kujitoa muhaβ¦
Mtoto wa miaka sita alimuuliza babake:MTOTO: Baa, eti sisi wanadamu tulikuja vipiduniani?BABA: Mungu alimuumba Nabii Adam na Hawa.Kisha wao wakaanza kβ¦
Ina Glyphosate isopropylamine salt 480g/L Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kuulia Magugu. Ni dawa ya kuandalia Shamba. Dawa hii inaangamiza Magugu Ainβ¦
Mara nyingi tumekua tukiomba lakini hatupati, sababu zinaweza zikawa hizi ;1. Mawazo na matarajio yetuMara nyingi tunajifunga kwenye maombi yetu pale β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate