
MASOMO YA MISA,Β JUNI 25, 2023: JUMAPILI YA 12 YA MWAKA
SOMO 1 Yer. 20 : 10-13 Nimesikia mashutumu ya watu wengi; hofu ziko pande zote. Rafiki zangu wote wanaonivizia nisite, husema, Mshitaki, nasi tutamshitaki; huenβ¦
Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

SOMO 1 Yer. 20 : 10-13 Nimesikia mashutumu ya watu wengi; hofu ziko pande zote. Rafiki zangu wote wanaonivizia nisite, husema, Mshitaki, nasi tutamshitaki; huenβ¦
SOMO 1 Isa. 50:4 β 7 Bwana Mungu amenipa ulimi wa hao wafundishwao, nipate kujua jinsi ya kumtegemeza kwa maneno yeye aliyechoka, huniamsha asubuhi baada ya asuβ¦

SOMO 1 Hos. 5:15-6:6 Bwana asema: Katika taabu yao watanitafuta kwa bidii: Njoni, tumrudie Bwana; maana yeye amerarua, na yeye atatuponya; yeye amepiga, na yeyeβ¦

SOMO 1: Yos. 5:9a, 10-12Bwana akamwambia Yoshua, Siku hii ya leo nimeivingirisha hiyo aibu ya Misri iondoke juu yenu.Basi wana wa Israeli wakapanga hema zao hukβ¦

SOMO 1Hes. 21:4-9Wakasafiri kutoka mlima wa Hori kwa njia ya Bahari ya Shamu; ili kuizunguka nchi ya Edomu watu wakafa moyo kwa sababu ya ile njia. Watu wakamnuβ¦

SOMO I Isa. 56:1, 6-7 Bwana asema hivi, Shikeni hukumu, mkatenda haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa. Na wageni, walioandamana β¦

SOMO 1 Isa. 49:8-15Bwana asema hivi, Wakati uliokubalika nimekujibu, na siku ya wokovu nimekusaidia; nami nitakuhifadhi, nitakutoa uwe agano la watu hawa, ili kβ¦

Aleluya Aleluya! Mimi ndimi njia, na ukweli, na uzima, asema Bwana; Mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Aleluya

SOMO 1 Yer. 18-18-20 Waliposema, Njoni na tufanye mashauri juu ya Yeremia; maana sheria haitampotea kuhani, wala shauri halitampotea mwenye hekima, wala neno haβ¦

SHEREHE YA MT. YOSEFU, MUME WA BIKIRA MARIA SOMO 1 2Sam. 7: 4 β 5, 12 β 14, 16 Ikawa usiku uo huo, neno la Bwana likamfikia Nathani kusema, Enenda ukamwambie mtβ¦

SOMO 1 Kum. 8:2-3;14-16 Musa aliwaambia makutano: Nawe utaikumbuka njia ile yote Bwana, Mungu wako, aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili akutwezeβ¦

Aleluya, aleluya, Wanabarikiwa wale ambao kwa unyofu na wema wa mioyo yao, hulisikia neno la Mungu na kulishika. Aleluya.

Somo la Kwanza 1Fal 19:9, 11-13 Eliya alifika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la Bwana likamjia. Akasema, Toka, usimame mlimani mbele za Bwanaβ¦

SOMO 1 - Kumb. 4:1, 5-9 Musa aliwaambia makutano: Ee Israeli, zisikilizeni amri na hukumu niwafundishazo, ili mmzitende; mpate kuishi na kuingia na kuimiliki ncβ¦

SOMO 1Isa. 65:17-21 Bwana asema: Tazama, mimi naumba mbingu mpya na nchi mpya, na mambo ya kwanza hayatakumbukwa, wala hayataingia moyoni. Lakini furahini, mkasβ¦

Aleluya, aleluya, Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristu, awape roho ya hekima mjue tumaini la mwito wake. Aleluya.

SOMO 1 Mdo 20 : 28-38 Paulo aliwaambia wakuu wa kanisa ya Efeso: Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangβ¦

SOMO 1 Yer. 17:5-10 Bwana asema hivi: Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na moyoni mwake amemwacha Bwana. Maana ataβ¦

SOMO 1 Eze. 47:1-9, 12 Malaika alinileta mpaka lango la nyumba; na tazama, maji yalitoka chini ya kizingiti cha nyumba, kwa njia ya mashariki, maana upande wa mβ¦

SOMO 1 Mdo. 2:1-11 Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasβ¦

MWANZO Zab. 47:2 Enyi watu wote, pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe. SOMO 1 2 Fal 4:8-11,14-16 Ilikuwa siku moja, Elisha alikwenda Shunemβ¦

SOMO 1: Isa. 43:16-21Bwana asema hivi, yeye afanyaye njia katika bahari, na mahali pa kupita katika maji yenye nguvu; atoaye gari na farasi, jeshi la askari na β¦

SOMO 1Mwa. 37:3-4, 12-13, 17-28 Israeli akampenda Yusufu kuliko wanawe wote, maana ni mwana wa uzee wake, akamfanyia kanzu ndefu. Ndugu zake wakaona ya kuwa babβ¦

SOMO 1 Yer. 11:18-20 Bwana akanijulisha haya, nami nikayajua; ndipo uliponionyesha matendo yao. Lakini mimi nalikuwa kama mwana-kondoo mpole, achukuliwaye kwendβ¦