ACKYSHINE ARTICLES Β· PUBLIC LIBRARY

πŸ“š Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato

Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Reset
ACKYSHINE ARTICLE Β· #3015

Jinsi ya kulima mahindi kitaalamu kama inavyotakiwa

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kilimo cha Mahindi#Magonjwa na Wadudu Kwenye Kilimo

Mahindi ni miongon mwa mazao makuu ya chakula hapa nchin Tanzania na ulimwa karibu kila mkoa. Ulimwa zaidi nyanda za juu kusini katika mikoa ya Mbeya, Iringa, R…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2249

Jinsi ya kulima vizuri vitunguu twaumu (swaumu)

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kilimo cha Vitunguu#Makala za Kilimo

Vitunguu twaumu viungo vinavyopendwa na watu wengi hasa kwa harufu yake nzuri Kwenye chakula na uwezo wake wa kuondoa harufu mbaya Kwenye chakula (shombo). Vile…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2247

Jinsi ya kulima vizuri zao la kabichi

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kilimo cha Kabichi#Makala za Kilimo

Kichwa cha kabichi kinapofunga vizuri, hutumika kama chakula na huvunwa baada ya kufunga na kukomaa vizuri. Kwa kawaida kabichi hupandwa kwa msimu mmoja, lakini…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2251

Kilimo bora cha matikiti maji

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kilimo cha Tikiti#Makala za Kilimo

Ili kulima tikiti maji, inakubidi uwe na sehemu ya kutosha, yenye jua la kutosha, maji mengi na ardhi yenye rutuba ya kutosha, matikiti maji hukua haraka kama m…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2444

Ufugaji wa nguruwe na faida zake

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Makala Kuhusu Mifugo#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula / mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara.

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2212

Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Magonjwa ya Mifugo#Makala Kuhusu Mifugo

Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.Tenga na wapatie tiba au kuwaua na kuteketeza kabisa kuku wagonjwa kue…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2255

Jinsi ya kumlisha n'gombe anayekamuliwa atoe maziwa mengi

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Makala Kuhusu Mifugo#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika kipindi cha miezi 3-4 ya mwanzo baada ya kuzaa, wakati ambao uz…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2211

Namna ya kulisha kuku ili wasipatwe na magonjwa

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Magonjwa ya Mifugo#Makala Kuhusu Mifugo

Safisha vyombo vya kulishia na kunyweshea kila siku. Osha, sugua vizuri, kisha suuza kuondoa utando unaobeba bakteria.Kuku wanahitaji wapewe chakula cha kutosha…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2170

Mambo Ya Kuzingatia Kuongeza Utagaji Wa Kuku

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kuku wa Mayai#Makala Kuhusu Mifugo

Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina ya mbegu ya kuku yenye sifa ya kutaga mayai mengi kama haitapewa…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2790

Jinsi ya Kulima Mgagani: Kilimo bora cha Mgagani

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kilimo cha Mgagani#Makala za Kilimo

Utangulizi Migagani, migange, mikabili au miangani ni mimea ya jenasi Cleome katika familia na oda Brassicales (kabichi). Mgagani (Cleome gynandra) au Spider pl…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2246

Mbinu za kulima parachichi ili kupata faida

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kilimo cha Parachichi#Makala za Kilimo

Agronomy ya ParachichiHali ya hewa-Ni tunda linalopenda sana sehemu za baridi, maeneo kama ya Rungwe-Mbeya, Njombe, Makete, linastawi vizuri sana, na huwa na Fa…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2286

Siri ya kilimo cha nyanya kwa faida

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kilimo cha Nyanya#Makala za Kilimo

NYANYA HASA KWENYE OPEN SPACE CHANGAMOTO NI NYINGI, HASA WADUDU, KAMA SASA KUNA MDUDU ANAITWA Tuta Absoluta, au waswahili wanaimuita KANITANGAZE MAANA AKIKUVAMI…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2213

Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Magonjwa ya Mifugo#Makala Kuhusu Mifugo

Ukaguzi wa Kila sikuβ€’ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.β€’ Ondoa kinyesi kwa kuku.β€’ Waangalie kuku wako kwa makini ili kujua…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2154

Canibalism Kwa Kuku Au Tatizo La Kudonoana

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kuku wa Mayai#Magonjwa ya Mifugo

Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni moja ya athari ya lishe duni. Ni kisema lishe duni na maanisha chakula wanacho kula kukosa vurutubisho m…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2162

Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali

Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Makala Kuhusu Mifugo#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao …