Jinsi vitunguu swaumu vinavyosaidia kuzuia wadudu shambani

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… 2015-12-26 04:49:00πŸ’¬ 0 comments⏱️ ~1 min read
πŸ“„ PDF
Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya. Hatua za kufuata kutengeneza dawa ya kitunguu saumu
  1. Saga kitunguu saumu kimoja,
  2. Changanyakwenye lita moja ya maji
  3. Nyunyizia kwenye mazao.
Namna nyingine ya kutengeneza dawa
  1. Unaweza pia kusaga vitunguu saumu 3,
  2. kishachanganya na mafuta taa,
  3. acha ikae kwa siku tatu,
  4. kisha ongeza lita 10 za maji ya sabuni na unyunyizie.
Hii itaondoa aina nyingi sana ya wadudu wanaosababisha magonjwa.
πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

0 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
No comments yet.