πŸ—‚οΈ Baini Siri za Familia, Mapenzi na Mahusiano🏷️ #Jifunze kuishi na Mke🏷️ #Jinsi ya Kuishi na mke🏷️ #Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani🏷️ #Jinsi ya Kuishi na Mke wako🏷️ #Jinsi ya Kumpenda Mke wako🏷️ #Jinsi ya Kumtambua Mke wako🏷️ #Jinsi ya kumtunza mke🏷️ #Jinsi ya Kumuelewa Mke wako🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Jifunze kuishi na Mke🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kuishi na mke🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kuishi na Mke wako🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kumpenda Mke wako🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kumtambua Mke wako🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya kumtunza mke🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kumuelewa Mke wako🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Mbinu za Kiume🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Mwanamme🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Mwanaume🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Siri za Familia kwa Mwanamme🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Siri za ndoa kwa Mwanamme KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya kuwa mume🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Siri za Wanaume🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Usiyoyajua kuhusu mke wako🏷️ #KAMA UMEOA SOMA HII: Wanaume🏷️ #Karibu AckySHINE🏷️ #KWA WANAUME TU: Jifunze kuishi na Mke🏷️ #KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kuishi na mke🏷️ #KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani🏷️ #KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kuishi na Mke wako🏷️ #KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kumpenda Mke wako🏷️ #KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kumtambua Mke wako🏷️ #KWA WANAUME TU: Jinsi ya kumtunza mke🏷️ #KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kumuelewa Mke wako🏷️ #KWA WANAUME TU: Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme🏷️ #KWA WANAUME TU: Mbinu za Kiume🏷️ #KWA WANAUME TU: Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume🏷️ #KWA WANAUME TU: Mwanamme🏷️ #KWA WANAUME TU: Mwanaume🏷️ #KWA WANAUME TU: Siri za Familia kwa Mwanamme🏷️ #KWA WANAUME TU: Siri za ndoa kwa Mwanamme KWA WANAUME TU: Jinsi ya kuwa mume🏷️ #KWA WANAUME TU: Siri za Wanaume🏷️ #KWA WANAUME TU: Usiyoyajua kuhusu mke wako🏷️ #KWA WANAUME TU: Wanaume🏷️ #Mahusiano: Makala kwa Wanawake🏷️ #Mahusiano: Uchumba na Urafiki🏷️ #Makala kwa wanaume🏷️ #Makala za Jifunze kuishi na Mke🏷️ #Makala za Jinsi ya Kuishi na mke🏷️ #Makala za Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani🏷️ #Makala za Jinsi ya Kuishi na Mke wako🏷️ #Makala za Jinsi ya Kumpenda Mke wako🏷️ #Makala za Jinsi ya Kumtambua Mke wako🏷️ #Makala za Jinsi ya kumtunza mke🏷️ #Makala za Jinsi ya Kumuelewa Mke wako🏷️ #Makala za Makala za wanaume🏷️ #Makala za Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme🏷️ #Makala za Mbinu za Kiume🏷️ #Makala za Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume🏷️ #Makala za Mwanamme🏷️ #Makala za Mwanaume🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jifunze kuishi na Mke🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kuishi na mke🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kuishi na Mke wako🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kumpenda Mke wako🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kumtambua Mke wako🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya kumtunza mke🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kumuelewa Mke wako🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mbinu za Kiume🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mwanamme🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mwanaume🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Siri za Familia kwa Mwanamme🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Siri za ndoa kwa Mwanamme MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya kuwa mume🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Siri za Wanaume🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Usiyoyajua kuhusu mke wako🏷️ #MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Wanaume🏷️ #Makala za Siri za Familia kwa Mwanamme🏷️ #Makala za Siri za ndoa kwa Mwanamme Makala za Jinsi ya kuwa mume🏷️ #Makala za Siri za Wanaume🏷️ #Makala za Usiyoyajua kuhusu mke wako🏷️ #Makala za wanaume🏷️ #Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme🏷️ #Mbinu Kwa Kiume🏷️ #Mbinu za Kiume🏷️ #Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume🏷️ #Mwanamme🏷️ #Mwanaume🏷️ #Siri za Familia kwa Mwanamme🏷️ #Siri za ndoa kwa Mwanamme Jinsi ya kuwa mume🏷️ #Siri za Wanaume🏷️ #SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF🏷️ #Usiyoyajua kuhusu mke wako🏷️ #Wanaume🌐 Swahili

Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… 2017-01-14 06:08:00πŸ’¬ 1 comments⏱️ ~2 min read
πŸ“„ PDF

Kijana maskini na mwenye maisha duni alimpenda msichana mmoja
Baada ya kutumia muda mwingi kumfikiria msichana huyo,
Siku moja akaamua kumwita na kumwambia ukweli ya kwamba amempenda na angehitaji kumuoa.

Msichana kwa nyodo na jeuri akasema "sikiliza tena unisikilize kwa makini wewe maskini mshahara wako unaopokea kwa mwezi hautoshi hata kwa matumizi yangu ya siku moja sasa utawezaje kunitunza mm!

Kwaufupi mm sio levo zako hivyo basi sahau kabisa kuhusu kunipata mimi
Nenda katafute maskini mwenzio atakae endana na maisha yako,
Mwisho akamwangalia kwa dharau na kisha akaenda zake.

Kwanzia siku ile kijana hakubahatika tena kumuona msichana yule lkn kwakuwa alimpenda basi hakuweza kumsahau kirahisi rahisi siku zilienda na miezi ikasonga,
Miaka 10 baadae wawili hawa walikuja kukutana katika supermarket moja hivi mjini

Kijana alipomwona msichana alitabasamu lakin kabla hajasema chochote msichana kama kawaida yake kwa dharau akasema "we maskin upo! hivi na ww unaingiaga supermarket eh!

Akaongeza huku akisema walau sasahivi nakuona umependeza inaonekana boss wako kakuongeza mshahara
ila kwa kifupi naomba nikwambie sasahivi nimeshaolewa mume wangu anafanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya mtu binafsi kampuni maarufu sana na mshahara wa mume wangu ni shilingi milioni moja na laki mbili kwa mwezi na malupulupu mengine kibao,
Unafikiri ww na umaskini wako kuna siku utakuja kufikia kiwango cha mshahara anachopokea mume wangu!

Macho ya kijana yalitokwa na machozi kwa kuona msichana hajabadilika na anaendelea kuwa na maneno ya kejeri na dharau.

Mara hii mume wa yule dada akaingia ktk supermarket
Ile kumuona yule kijana mume akasema "ooh! Kiongozi upo hapa! Leo imekuwa bahati umekutana na mke wangu!" Kisha akamgeukia mke wake na kusema "mke wangu huyu ndo boss wangu

Na unajua nn mke wangu usishangae kumuona boss wangu anakuja kununua vitu mwenyewe hapa supermarket ukweli ni kwamba boss wangu hana mke, anasema alisha wahi kumpenda msichana mmoja lakini hakufanikiwa kumpata na amekuwa na ndoto ya kuja kukutana tena na msichana huyo ndio maana mpaka sasa bado hajaoa.

Akaendelea kusema hebu fikiria ni bahati kiasi gani alikuwa nayo msichana huyo kama angekubali kuolewa na boss wangu leo hii siangekuwa
maisha!

Muda wote msichana alikuwa kimya hajui hata ajibu nn kwa dharau alizomuonyesha kijana tangu mwanzo.


UJUMBE WANGU
Kwenye maisha mambo huweza kubadilika kama vile upepo unavoweza kubadili mwelekeo kulingana na masaa Hivyo basi usimdharau na kumbeza mtu yeyote kwa sababu ya hali aliyonayo,
Maana kila mtu anafungu lake alilopangiwa na Mungu,

Lakini pia kumbuka hakuna ajuaye kesho
Wakati mwingine mtu unayemdharau leo ndiye huyohuyo ambaye kesho utasimulia mafanikio yake.

Kwako unayesoma ujumbe huu nakuombea Mungu akakufungulie milango ya baraka na kuyapa thamani maisha yako ili pale ulipozomewa ukashangiliwe na wale wote waliokudharau punde wakapate kukupigia magoti kwa uweza wa Mungu.

πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

1 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
D
Director J2025-05-15 23:55:32 Β· User
Good story πŸ’ͺ