Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa kawaida. Jambo hili ni la kawaida kwa kijana yeyote anayekua. Ni dalili zinazoonyesha kwamba sasa unaingia utu uzima.
Unapopata hisia za namna hiyo jaribu kutafuta shughuli zitakazokusahaulisha, kama vile, michezo, kujisomea, kuwasaidia wazazi kazi za nyumbani au kujihusisha katika shughuli za vikundi katika jamii. Vijana wengine wanasema kwamba wanaoga maji baridi ili kuondoa hamu na msisimko wa kutaka kujamiiana.
Unapojisikia kutaka kujamiiana au uume kudinda haimaanishi lazima ujamiiane. Kujamiiana ni njia mojawapo tu ya kuonyesha mapenzi. Kuna njia nyingine ambazo zinaweza kutumika kama vile kuongea, kushikana, mikono, kukumbatiana, kubusu na kushikanashikana.
Njia nyingine ni kupiga punyeto. Kupiga punyeto ni wakati msichana anajishika au anasuguasugua kinembe mpaka anapofikia mshindo, au wakati mvulana anasugua sugua uume wake mpaka anaposhusha. Watu wengi wanaopiga punyeto hufanya hivyo wakiwa peke yao. Kupiga punyeto hakuna madhara yoyote kiafya wala kiakili na ni aina moja ya kuwa na βmapenzi salamaβ.
Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa kawaida. Jambo hili ni la kawaida kwa kijana yeyote anayekua. Ni dalili zinazoonyesha kwamba sasa unaingia utu uzima. Unapopata hisia za namna hiyo jaribu kutafuta shughuli zitakazokusahaulisha, kama vile, michezo, kujisomea, kuwasaidia wazazi kazi za nyumbani au kujihusisha katika shughuli za vikundi katika jamii. Vijana wengine wanasema kwamba wanaoga maji baridi ili kuondoa hamu na msisimko wa kutaka kujamiiana. Unapojisikia kutaka kujamiiana au uume kudinda haimaanishi lazima ujamiiane. Kujamiiana ni njia mojawapo tu ya kuonyesha mapenzi. Kuna njia nyingine ambazo zinaweza kutumika kama vile kuongea, kushikana, mikono, kukumbatiana, kubusu na kushikanashikana. Njia nyingine ni kupiga punyeto. Kupiga punyeto ni wakati msichana anajishika au anasuguasugua kinembe mpaka anapofikia mshindo, au wakati mvulana anasugua sugua uume wake mpaka anaposhusha. Watu wengi wanaopiga punyeto hufanya hivyo wakiwa peke yao. Kupiga punyeto hakuna madhara yoyote kiafya wala kiakili na ni aina moja ya kuwa na βmapenzi salamaβ.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Je, kuna tofauti za kihisia katika ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna tofauti kubwa sana za kihisia katika ngono/kufanya mapenzi. Mapenzi na ngono huatβ¦
Leo tutazungumzia jambo la muhimu sana, ambalo ni kujenga ujasiri wakati wa ngono. Hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu imani ya watu katiβ¦
Ukishatambua kwamba una mimba kuna mambo mbalimbali tofauti ya kufanya. Kwanza kabisa mweleze mwenzi wako na mshauriane hatua zipi mchukue. Pia, kwa mβ¦
Upasuaji unafanyika kwa wanawake wote ambao wamegundulikakuwa na tatizo la kujifungua kwa njia ya kawaida. Hii inafanyikabila kujali hali yao kwa maanβ¦
Kujenga uhusiano wa kimapenzi wenye afya na mwenza wako ni muhimu sana. Hii ni kwa sababu uhusiano huu unahusisha mambo mengi kama kujifunza na kushirβ¦
Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Uoga Kabla ya Kufanya Ngono π Karibu kwenye makala hii ambayo itakusaidia kukabiliana na hisia za uoga kabla ya kuanzβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate