Kulambana sehemu za siri ni salama kiafya? Je, tendo hili ni la kawaida?

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… 2022-04-17 18:37:05πŸ’¬ 0 comments⏱️ ~1 min read
πŸ“„ PDF
Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalofanyika na kama wahusika wote wanalipenda ni sawa. Inashauriwa kuosha sehemu za siri kabla ya kufanya hivyo. Kwa kufanya hivyo, yaani kunawa kunafanya tendo hili kufanyika katika hali ya usalama kiafya. KAMA wote mtakuwa wazima bila kuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa hasa kisonono (gono).
πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

0 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
No comments yet.