Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisimka kimapenzi, damu nyingi inaenda katika mishipa ya damu ndani ya uume. Halafu uume husimama kutokana na msukumo wa damu. Hivyo kama msukumo wa damu hautoshi, hii husababisha uume kutosimama au kusimama kwa unyonge.
Kutokuwa na msisimko wa kutosha kwa ajili ya kusimamisha uume kunaweza kusababishwa na mambo mengi, mojawapo ni i i ile hali ya kutokuwa tayari kwa kujamii ana, kuwa na wasiwasi mwingi, kutompenda mpenzi wako, ulevi wa pombe au dawa za kulevya, kuvuta sigara, lishe duni au maradhi mbalimbali.
Kama una shida ya uume kutosimama wakati wa kujamii ana, jaribu kuangalia ni sababu zipi kati ya hizi zilizoorodheshwa juu zingeweza kuwa sababu kuu ya shida yako. Halafu, jaribu kurekebisha matatizo.
Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisimka kimapenzi, damu nyingi inaenda katika mishipa ya damu ndani ya uume. Halafu uume husimama kutokana na msukumo wa damu. Hivyo kama msukumo wa damu hautoshi, hii husababisha uume kutosimama au kusimama kwa unyonge. Kutokuwa na msisimko wa kutosha kwa ajili ya kusimamisha uume kunaweza kusababishwa na mambo mengi, mojawapo ni i i ile hali ya kutokuwa tayari kwa kujamii ana, kuwa na wasiwasi mwingi, kutompenda mpenzi wako, ulevi wa pombe au dawa za kulevya, kuvuta sigara, lishe duni au maradhi mbalimbali. Kama una shida ya uume kutosimama wakati wa kujamii ana, jaribu kuangalia ni sababu zipi kati ya hizi zilizoorodheshwa juu zingeweza kuwa sababu kuu ya shida yako. Halafu, jaribu kurekebisha matatizo.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)? Karibu sana! Leo tutazungumzia suala nyeti kuhusu matumizi ya vipira (IUD) na jiβ¦
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kutotaka Kufanya Ngono? π Leo, ningependa kuzungumza na vijana wenzangu kuhusu jinsi ya kukabiliana na hisia za kutoβ¦
Neno VVU ni i virusi au vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI. Neno hili kwa lugha ya Kii ngereza ni HIV yaani βHuman Immunodeficiency Virusβ. Uβ¦
Kama umeamua kutojamiiana kabla ya ndoa, huo ni uamuzi mzuri na ni haki yako. Kutojamiiana kabla ya ndoa ni uamuzi wako binafsi kama ambavyo watu wengβ¦
Je, ni njia gani zinaweza kuleta hisia za kihisia wakati wa ngono/kufanya mapenzi? Swali hili linaweza kuwa gumu kwa baadhi ya watu, lakini ni muhimu β¦
Sigara siyo dawa za kulevya, kwa maana ya kwamba ni haramu,lakini hata hivyo, sigara ina nikotini ambayo hufanya iwe dawa ya kulevya kwa sababu nikotiβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate