Baba Yetu uliye mbinguni,jina lako litukuzwe;ufalme wako ufike,utakalo lifanyikeduniani kama mbinguni.Utupe leo mkate wetu wa kila siku,utusamehe makoβ¦
Anza Novena hii tarehe 19 Agosti ili kumalizia tarehe 27 Agosti na kusheherekea tarehe 28 Agosti, Sikukuu ya Mtk. Augustino wa Hippo. SIKU YA KWANZA ββ¦
Mtakatifu Yuda Tadei,/ Mtume Mtakatifu,/ mtumishi mwaminifu na rafiki wa Yesu./ Jina la yule msaliti aliyemwuza Yesu/ limewafanya wengi wakusahau./ Waβ¦
Tusali kila siku sala hizi, angalau kwa mwezi wa saba (Julai) kila mwaka, mwezi wa kuheshimu Damu Takatifu ya Mkombozi wetu.Yesu alimwahidi Mt. Brigitβ¦
Malaika wa Mungu Mlinzi wangu mpenzi,Ambaye upendo wake unanifanya niwepo hapa,Uwe nami leo hii,Kuniangaza na kunilinda,Kunitawala na kuniongoza.Aminaβ¦
Ee Mtakatifu Teresia wa mtoto Yesu, ulistahili kuitwa Msimamizi wa misioni katoliki za dunia yote. Kumbuka ile tamaa yako kuu uliyoonyesha huku dunianβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate