Ndiyo, hata akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga mbegu anaweza akaambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Ni hatari kwa mwanamke na pia kwa mwanaume, kwa sababu vijidudu vimo ndani ya majimaji ukeni na uumeni. Hasa kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda au michubuko midogo sehemu za siri, Virusi vya UKIMWI. huingia kwa urahisi.
Kutoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa siyo njia salama ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Ndiyo, hata akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga mbegu anaweza akaambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Ni hatari kwa mwanamke na pia kwa mwanaume, kwa sababu vijidudu vimo ndani ya majimaji ukeni na uumeni. Hasa kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda au michubuko midogo sehemu za siri, Virusi vya UKIMWI. huingia kwa urahisi.Kutoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa siyo njia salama ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Jinsi ya Kuepuka Kujihusisha na Ngono Kwa Shinikizo la Wenzako Habari kijana! Leo tunajadili jambo muhimu sana kuhusu kuepuka kujihusisha na ngono kwaβ¦
Kuwa na uhusiano mzuri na msichana ni jambo ambalo kila mwanaume anataka. Hata hivyo, wakati mwingine uhusiano huu unaweza kuwa mgumu sana kwa sababu β¦
Baadhi ya dawa za kulevya pamoja na dawa za kutibu, hutumika hospitali kuokoa maisha na kupunguza maumivu. Hii inamaanisha kwamba wataalamu kama madakβ¦
Leo, tutazungumzia kuhusu mbinu za kuleta msisimko wa kihisia wakati wa ngono/kufanya mapenzi. Ni jambo la kawaida kwa wapenzi wengi kutafuta mbinu mbβ¦
Inawezekana kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupatamimba. Uwezekano wa kupata mimba ni sawa kama vile amekubalimwenyewe au kulazimishwa. Iwapo mwatβ¦
Jinsi ya Kujifunza Kujiheshimu na Kuheshimu Wengine kuhusu Ngono ππ Karibu sana kijana! Leo tutazungumzia jambo muhimu sana kuhusu heshima na ngono. Kβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate