Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo
yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu
wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha
yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana
uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto.
Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa
habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango
ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia
zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa
na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake
kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua.
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto. Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Wengi wa waathirika wa dawa za kulevya hukataa matatizo yao. Hudanganya kwa sababu hawataki kukubali matatizo yao pia hutoa maelezo kujitetea au kulauβ¦
Jinsi ya Kuepuka Kujihusisha na Ngono Kwa Shinikizo la Wenzako Habari kijana! Leo tunajadili jambo muhimu sana kuhusu kuepuka kujihusisha na ngono kwaβ¦
Je, Ni Vipi Kujilinda na Maambukizi ya Kisonono na Kaswende? π Karibu, vijana wapendwa! Leo tunazungumzia jambo muhimu sana kuhusu afya yako ya kingonβ¦
Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri na mwenye nguβ¦
Imani iliyojengeka kwenye jamii kuwa Albino wana uwezomdogo si ya kweli. Ipo mifano mingi ya watu walioweza kupatamafanikio katika maisha ambao pia niβ¦
Dawa za kulevya zenyewe hazisababishi UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Lakini utumiaji wa dawa za kulevya hurahisisha kupata na kuenea kwa magonjwa haya. β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate