Haki za binadamu ni haki zinazohusiana na mambo ya msingi na
asili ya uhuru na heshima ya ubinadamu ambapo watu wote wamepewa
haki ya kupata heshima kama
binadamu. Mara mtu azaliwapo
mume au mke hupata
haki hizi. Haki hizi
zinatambuliwa kimataifa
na zina usawa kwa watu
wote. Nchi mbalimbali
zimetia saini na kuidhinisha
haki hizi za kimataifa
na kufanya ni sehemu
ya sheria zao
pamoja na kuweka sera
zinazolinda haki hizi.
Haki za uzazi zina misingi yake katika haki za binadamu na pia
zinahusiana na haki za mtu mmojammoja.
Kupata habari juu ya ujinsia na mada zinazohusu afya
ya uzazi.
Mwanamke au mwanaume kuamua kwa uhuru na
kuwajibika, kama unataka kujamiaana lini na nani.
Uhuru wa maamuzi.
Kuamua kwa hiari na kuwajibika juu ya idadi na muda wa
kupishana katika kupata watoto.
Kupata huduma za afya ya uzazi kwa urahisi.
Haki za kufanya maamuzi kuhusu afya ya uzazi, kwa
uhuru, bila kunyanyaswa, kulazimishwa, bila kutumia
nguvu pamoja na maamuzi nani wa kufunga naye ndoa.
Kujilinda kutokana na mila zenye madhara kama vile
ukeketaji wa wanawake.
Haki hizi zimerekebishwa tangu mkutano uliofanyika Cairo mwaka
19941.
Haki za binadamu ni haki zinazohusiana na mambo ya msingi na asili ya uhuru na heshima ya ubinadamu ambapo watu wote wamepewa haki ya kupata heshima kama binadamu. Mara mtu azaliwapo mume au mke hupata haki hizi. Haki hizi zinatambuliwa kimataifa na zina usawa kwa watu wote. Nchi mbalimbali zimetia saini na kuidhinisha haki hizi za kimataifa na kufanya ni sehemu ya sheria zao pamoja na kuweka sera zinazolinda haki hizi. Haki za uzazi zina misingi yake katika haki za binadamu na pia zinahusiana na haki za mtu mmojammoja. Kupata habari juu ya ujinsia na mada zinazohusu afya ya uzazi. Mwanamke au mwanaume kuamua kwa uhuru na kuwajibika, kama unataka kujamiaana lini na nani. Uhuru wa maamuzi. Kuamua kwa hiari na kuwajibika juu ya idadi na muda wa kupishana katika kupata watoto. Kupata huduma za afya ya uzazi kwa urahisi. Haki za kufanya maamuzi kuhusu afya ya uzazi, kwa uhuru, bila kunyanyaswa, kulazimishwa, bila kutumia nguvu pamoja na maamuzi nani wa kufunga naye ndoa. Kujilinda kutokana na mila zenye madhara kama vile ukeketaji wa wanawake. Haki hizi zimerekebishwa tangu mkutano uliofanyika Cairo mwaka 19941.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Wakati wa kujifungua, uke wa mwanamke mzima hupanuka kuanzia kipenyo cha sentimeta kumi mpaka kumi na mbili i i ili kuruhusu kichwa cha mtoto kupita. β¦
Kuna i imani potofu kwamba wote wenye matatizo ya akili wamekuwa hivyo kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Hii siyo kweli. Lakini dawa za kulevyaβ¦
Hakuna chanjo dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI, Lakini kuna mienendo ya tabia ambayo i itaweza kukusaidia kujikinga na maambukizi yaβ¦
Kuna madhara mengi ambayo hutokana na uvutaji sigara.Madhara mengi yanampata mvutaji kwani moshi unaingiakwenye mapafu na kuendelea kuleta madhara menβ¦
Je, umewahi kujiuliza ni vipi unaweza kupata msaada wa kielimu kuhusu masuala ya ngono? Leo, tutazungumzia njia ambazo unaweza kutafuta elimu na msaadβ¦
Je, ni sahihi kutumia michezo ya ngono/kufanya mapenzi kama njia ya kuimarisha uhusiano wako? Watu wengi huamini kwamba kutumia michezo ya ngono au kuβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate