Neno Albino linamaanisha
mtu mweupe, linatokana na
neno la lugha ya Kilatini -
albus-linamaanisha βeupeβ.
Kuanzia karne ya 17 neno
Albino limekuwa likitumika
katika kueleza hali ya kundi
la viumbe hai (watu, wanyama
na hata mimea) ambao wana
upungufu au ukosefu wa rangi
katika ngozi, macho na nywele.
Kwa binadamu ni bora kutumia
maneno βWatu wanaoishi na
ualbino
kwani itamaanisha kuwa ni watu kama wengine ila wanaishi na
hali tofauti ya βualbinoβ. Katika kitabu hiki maneno haya mawili
yatatumika.
Lugha inajenga dhana na kuunda hali ya ukweli / uhalisi. Kwa
sababu hiyo ni lazima tuache kutumia maneno kama βzeruzeruβ.
Neno hili linamaanisha sifuri mara mbili au mtu asiye na
thamani. Utumiaji wa neno hili ni dharau ya utu na kulaumu
watu wanaoishi na ualbino kama kosa lao.
Neno Albino linamaanisha mtu mweupe, linatokana na neno la lugha ya Kilatini - albus-linamaanisha βeupeβ. Kuanzia karne ya 17 neno Albino limekuwa likitumika katika kueleza hali ya kundi la viumbe hai (watu, wanyama na hata mimea) ambao wana upungufu au ukosefu wa rangi katika ngozi, macho na nywele. Kwa binadamu ni bora kutumia maneno βWatu wanaoishi na ualbino kwani itamaanisha kuwa ni watu kama wengine ila wanaishi na hali tofauti ya βualbinoβ. Katika kitabu hiki maneno haya mawili yatatumika. Lugha inajenga dhana na kuunda hali ya ukweli / uhalisi. Kwa sababu hiyo ni lazima tuache kutumia maneno kama βzeruzeruβ. Neno hili linamaanisha sifuri mara mbili au mtu asiye na thamani. Utumiaji wa neno hili ni dharau ya utu na kulaumu watu wanaoishi na ualbino kama kosa lao.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kama umeamua kutojamiiana kabla ya ndoa, huo ni uamuzi mzuri na ni haki yako. Kutojamiiana kabla ya ndoa ni uamuzi wako binafsi kama ambavyo watu wengβ¦
Kujadili mipango ya uzazi na ngono/kufanya mapenzi kuna umuhimu mkubwa sana katika kuhakikisha afya yako na ya mwenza wako inalindwa. Kupanga uzazi huβ¦
Je, ualbino unaambukiza? β¦β¦β¦.. HapanaUalbino ni ugonjwa? β¦β¦β¦..HapanaUalbino ni laana? β¦β¦β¦..HapanaUalbino ni kitu cha kawaida? β¦β¦β¦..HapanaUalbino unawaβ¦
Si kweli. Mpaka sasa wanasayansi hawajathibitisha kwambamtu anayekunywa pombe kidogo ndiye anayeishi kwa mudamrefu. Kwa ujumla, watu wanaoishi katika β¦
Ni vigumu kutoa jibu kamili kwa nini hisia hii i ii inatokea kwa watu wengine, kwa sababu wataalamu bado wanalifanyia utafiti.Siku hizi, wataalamu wanβ¦
Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa namaana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe mgomvi.Jaribu kueleza sababu zako kwa upole na uwaeleze raβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate