Watu wenye ualbino hawana uwezo kabisa au wana uwezo mdogo
wa kuwa na rangi kwenye ngozi zao, nywele na macho. Rangi hii
huitwa βmelaniniβ. Rangi ya ngozi itategemeana na kiasi cha
melanini kilichopo. Hali ya kuzalisha melanini imekaa katika
vinasaba vyetu. Kama vinasaba vya kutoa melanini havipo au
vimebadilishwa madhara yake ni ukosefu au upungufu wa rangi.
Kwa hiyo hali ya ualbino ni ya kurithi. Inaweza kurithishwa
kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto.
Watu wenye ualbino hawana uwezo kabisa au wana uwezo mdogo wa kuwa na rangi kwenye ngozi zao, nywele na macho. Rangi hii huitwa βmelaniniβ. Rangi ya ngozi itategemeana na kiasi cha melanini kilichopo. Hali ya kuzalisha melanini imekaa katika vinasaba vyetu. Kama vinasaba vya kutoa melanini havipo au vimebadilishwa madhara yake ni ukosefu au upungufu wa rangi. Kwa hiyo hali ya ualbino ni ya kurithi. Inaweza kurithishwa kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ndiyo, mtu yoyote anayelazimishwakujamiina atakuwaamebakwa, haijalishi kamamtu huyu ni mwanamke/msichana, mwanaume aumvulana.Wavulana na wanaumewanaweβ¦
Je, ni lazima kufanya ngono kama ishara ya mapenzi?π€ Haya, wapendwa vijana, hebu tuanze kwa kusema kwamba mapenzi ni zaidi ya tu ngono. Ni hisia za moβ¦
Ni vigumu sana kujibu swali hili kwa sababu muda wa madhara hutegemea sababu mbalimbali kama vile aina za dawa za kulevya, njia za utumiaji, hali ya mβ¦
Habari yako rafiki! Leo, ningependa kuzungumza nawe kuhusu umuhimu wa kuwa na uelewa wa afya ya uzazi na uzazi katika ngono/kufanya mapenzi. Ni muhimuβ¦
Je, umewahi kufanya mapenzi ukatumia vifaa vya burudani kama vile vyombo vya muziki au nuru ya rangi? Ikiwa jibu lako ni ndio, basi hujapotea peke yakβ¦
Ndiyo, Kama nikotini, pombe huweza kukufanya mwenye busaraiwapo utakunywa, na ujiwekee kiwango maalumu cha kuinywa.Mtu aliyetawaliwa na pombe anapotakβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate