Ndiyo. Nikotini iliyo kwenye tumbaku ni sumu. Ukiwa na kiwango
kikubwa cha nikotini katika damu utajisikia kichefuchefu,
kutapika, kujaa kwa mate mdomoni, maumivu ya sehemu za
chini ya tumbo, kuharisha, na kujihisi dhaifu. Dalili nyingine
ni kuumwa na kichwa, kizunguzungu, kuongezeka kwa mapigo
ya moyo, kupata shinikizo la damu, kutetemeka na kutokwa na
jasho baridi. Nikotini nyingi inaweza kusababisha ukosefu wa
umakini na pia ukosefu wa usingizi.
Ndiyo. Nikotini iliyo kwenye tumbaku ni sumu. Ukiwa na kiwango kikubwa cha nikotini katika damu utajisikia kichefuchefu, kutapika, kujaa kwa mate mdomoni, maumivu ya sehemu za chini ya tumbo, kuharisha, na kujihisi dhaifu. Dalili nyingine ni kuumwa na kichwa, kizunguzungu, kuongezeka kwa mapigo ya moyo, kupata shinikizo la damu, kutetemeka na kutokwa na jasho baridi. Nikotini nyingi inaweza kusababisha ukosefu wa umakini na pia ukosefu wa usingizi.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Je, ni muhimu kuzungumzia upendeleo wako wa ngono kabla ya kuingia katika uhusiano? Jibu ni ndio! Ni muhimu kuzungumzia kuhusu upendeleo wako wa ngonoβ¦
Njia za Kupata Msichana Mzuri wa Kuwa Naye Maisha Yote Kila mwanamume anataka kupata msichana mzuri wa kuwa naye maisha yote. Lakini, je, unajua njia β¦
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madhara yatakayokutokea kwenye sehemu zako za siri au katiβ¦
Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyazoea. Mara nyingi watu huanza kuhitaji dawa zaidi paleβ¦
Kujenga uhusiano na msichana ni jambo muhimu katika maisha ya kimapenzi. Uhusiano unapokuwa imara, huwa ni rahisi kwa pande zote mbili kuwa na furaha β¦
Je, Ni Vipi naweza Kukabiliana na Hisia za Kutokuwa Tayari kwa Ngono? π Kwanza kabisa, ni muhimu kuelewa kuwa hisia za kutokuwa tayari kwa ngono ni zaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate