Upungufu wa damu ni tatizo linalosababishwa na kupoteza damu nyingi, kupungua kwa uzalishaji wa chembe hai za da damu na uharibifu wa chembe za damu kutokana na matatizo na magonjwa mbali mbali seli mundu, ujauzito, hedhi nzito, kurithi, magonjwa sugu na Lishe duni yenye ukosefu wa madini ya folic, chuma na vitamini B12.
Dalili
Dalili zifuatazo zinakuwezesha kutambua kama una tatizo la upungufu wa damu hivyo kukusaidia kuwahi hospitali au kubadili mfumo wa chakula ili kuepuka madhara makubwa ya baadae.
Β· Kushindwa kupumua vizuri
Β· Vidonda kwenye ulimi au mdomoni
Β· Sehemu nyeupe ya jicho kuwa bluu
Β· Ngozi kuwa na rangi ya kijivu
Β· Kucha kuwa dhaifu
Β· Kusikia hasira na kuhamasika haraka
Β· Kuchoka sana kuliko kawaida
Β· Maumivu makali ya kichwa
Β· Kupungua kwa uwezo wa kufikiria
Β· Kusikia kichwa chepesi pale unaposimama
Β· Miguu na mikono kuwa ya baridi sana
Β· Uchovu wa mara kwa mara
Matibabu.
Upungufu wa damu hutibiwa mapema kwa kubadili lishe pamoja na kuongeza lishe yenye vitamini C na B12 pamoja na madini ya Chuma kutokana na visababishi vya tatizo. Mara nyingine vidonge na sindano zenye lishe hizi huweza kutumika hosipitali na matibabu ya tatizo linalosababisha na iwapo mgonjwa yuko katika hali mahututi huweza kuongezewa damu.
Upungufu wa damu ni tatizo linalosababishwa na kupoteza damu nyingi, kupungua kwa uzalishaji wa chembe hai za da damu na uharibifu wa chembe za damu kutokana na matatizo na magonjwa mbali mbali seli mundu, ujauzito, hedhi nzito, kurithi, magonjwa sugu na Lishe duni yenye ukosefu wa madini ya folic, chuma na vitamini B12. Dalili Dalili zifuatazo zinakuwezesha kutambua kama una tatizo la upungufu wa damu hivyo kukusaidia kuwahi hospitali au kubadili mfumo wa chakula ili kuepuka madhara makubwa ya baadae. Β· Kushindwa kupumua vizuri Β· Vidonda kwenye ulimi au mdomoni Β· Sehemu nyeupe ya jicho kuwa bluu Β· Ngozi kuwa na rangi ya kijivu Β· Kucha kuwa dhaifu Β· Kusikia hasira na kuhamasika haraka Β· Kuchoka sana kuliko kawaida Β· Maumivu makali ya kichwa Β· Kupungua kwa uwezo wa kufikiria Β· Kusikia kichwa chepesi pale unaposimama Β· Miguu na mikono kuwa ya baridi sana Β· Uchovu wa mara kwa mara Matibabu. Upungufu wa damu hutibiwa mapema kwa kubadili lishe pamoja na kuongeza lishe yenye vitamini C na B12 pamoja na madini ya Chuma kutokana na visababishi vya tatizo. Mara nyingine vidonge na sindano zenye lishe hizi huweza kutumika hosipitali na matibabu ya tatizo linalosababisha na iwapo mgonjwa yuko katika hali mahututi huweza kuongezewa damu.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje. Hodiiiiii, Hodiiiii, Tβ¦
EtUmexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kixha ukaviweka mlangon ili majiran wakipita wajue una demu ndaniβ¦πππππππππππKUA SINGLE NAOβ¦
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilβ¦
Kila mmoja wetu anaweza kuwa na sababu tofauti inayoweza kumsababishia msongo (stress). Sababu kubwa ambazo husababisha msongo ni masuala ya kazi hataβ¦
MahitajiMihogo kilo 1Kidali cha kuku 1 kikubwaNyanya 1 kubwaKitunguu maji 1 cha wastaniSwaum/tangawizi i kijiko cha chaiNazi kopo 1curry powder 1 kijiβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate