🌹Tikiti🍉 1
🌹Tangawizi kidogo
🌹Limao nusu ama apple cider vinegar
☘Njia☘
🌲Safisha matunda yako Kwa maji Safi,menya tikiti🍉,katakata weka kwenye Brenda ,
🔥Menya tangawizi katakata Ila usiweke nyingi,weka kwa Brenda,
🍍Kamulia limao kwenye matunda yako saga,baada ya hapo itakua tayar.Mimina kwenye grasi yako🍸,ukiweza kunywa kabla hujala kitu,asubuh na endelea kunywa siku nzima,juic hii ni nzuri,na huondoa sumu mwilin ,husaidia kupata choo,huyeyusha mafuta,hung'arisha ngoz
☘☘piga chini kitambi☘☘ Mahitaji 🌹Tikiti🍉 1 🌹Tangawizi kidogo 🌹Limao nusu ama apple cider vinegar ☘Njia☘ 🌲Safisha matunda yako Kwa maji Safi,menya tikiti🍉,katakata weka kwenye Brenda , 🔥Menya tangawizi katakata Ila usiweke nyingi,weka kwa Brenda, 🍍Kamulia limao kwenye matunda yako saga,baada ya hapo itakua tayar.Mimina kwenye grasi yako🍸,ukiweza kunywa kabla hujala kitu,asubuh na endelea kunywa siku nzima,juic hii ni nzuri,na huondoa sumu mwilin ,husaidia kupata choo,huyeyusha mafuta,hung'arisha ngoz
💬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
🔐 Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mzee kaingia pharmacy, MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA: Kitu gani?….Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka …majimaji y…
Lakini sisi wanaume hatuko fair … Yani demu anang'ng'ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. 😆😆😆mungu anatuona jaman😆😆😆😆😆😆Makeup ya matako iletw…
ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO" Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa …
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu. Zab 95:7-8 Tunaalikwa kutubu na kumrudia Mungu kwa Mioyo yetu yote na kwa nia dhabiti…
Kuacha kitu chochote kabisa moja kwa moja ni rahisi sana kuliko kufanya kitu hicho kidogokidogo kwa wastani. Usijidanganye utafanya kidogo au utaacha …
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate