Hii ni dawa nzuri ya kutibu shinikizo la chini la damu sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C, magnesiamu na potasiamu, vilevile dawa hii husaidia kuweka sawa akili na kuondoa msongo wa mawazo (stress).
Matumizi
Chukua majani 10 mpaka 15 ya mrehani mbichi
Saga au twanga kupata maji maji yake (juisi).
Weka asali kijiko kidogo kimoja ndani yake.
Kunywa mchanganyiko huu kila siku asubuhi ukiamka tu tumbo likiwa tupu.
Vile vile unaweza kutafuna tu moja kwa moja majani kadhaa ya mrehani kila siku asubuhi.
Hii ni dawa nzuri ya kutibu shinikizo la chini la damu sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C, magnesiamu na potasiamu, vilevile dawa hii husaidia kuweka sawa akili na kuondoa msongo wa mawazo (stress).MatumiziChukua majani 10 mpaka 15 ya mrehani mbichiSaga au twanga kupata maji maji yake (juisi).Weka asali kijiko kidogo kimoja ndani yake.Kunywa mchanganyiko huu kila siku asubuhi ukiamka tu tumbo likiwa tupu.Vile vile unaweza kutafuna tu moja kwa moja majani kadhaa ya mrehani kila siku asubuhi.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanaβ¦
Faida kuu za ukwaju ni kama ifuatavyo:Huondoa sumu MwiliniChanzo kizuri cha viua sumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)Una Vitamβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate