Kupika tambi ni kama ifuatavyo
VIAMBA UPISHI
Tambi pakti moja
Sukari ΒΎ kikombe cha chai
Mafuta Β½ kikombe cha chai
Iliki kiasi
Maji 3 Vikombe vya chai
Vanilla / Arki rose 1-2 Tone
Zabibu Kiasi (Ukipenda)
JINSI YA KUPIKA TAMBI ZAKO
1. Zichambue tambi ziwe moja moja.
2. Mimina mafuta kwenye sufuria yakisha pata moto mimina
tambi,zigeuzegeuze mpaka zibadilike rangi na kuwa brown.
3. Punguza mafuta kwa kuyachuja na zirudishe jikoni.
4. Nyunyizia iliki zilizosagwa koroga kidogo na mimina maji na tia arki
na acha zichemke mpaka maji yakikaribia kukauka mimina sukari
koroga kidogo na punguza moto.
5. Kisha tia zabibu ukipenda, zifunike ili zikaukie vizuri.
6. Zikishakauka pakua kwenye sahani tayari kwa kuliwa
Kidokezi: Itategemea na aina za Tambi unazopika kwa kukisia maji, kama utaona hazijaiva unaweza kuongeza maji kidogo.
Kupika tambi ni kama ifuatavyoVIAMBA UPISHITambi pakti mojaSukari ΒΎ kikombe cha chaiMafuta Β½ kikombe cha chaiIliki kiasiMaji 3 Vikombe vya chaiVanilla / Arki rose 1-2 ToneZabibu Kiasi (Ukipenda)JINSI YA KUPIKA TAMBI ZAKO1. Zichambue tambi ziwe moja moja.2. Mimina mafuta kwenye sufuria yakisha pata moto miminatambi,zigeuzegeuze mpaka zibadilike rangi na kuwa brown.3. Punguza mafuta kwa kuyachuja na zirudishe jikoni.4. Nyunyizia iliki zilizosagwa koroga kidogo na mimina maji na tia arkina acha zichemke mpaka maji yakikaribia kukauka mimina sukarikoroga kidogo na punguza moto.5. Kisha tia zabibu ukipenda, zifunike ili zikaukie vizuri.6. Zikishakauka pakua kwenye sahani tayari kwa kuliwaKidokezi: Itategemea na aina za Tambi unazopika kwa kukisia maji, kama utaona hazijaiva unaweza kuongeza maji kidogo.
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate