Mambo 8 ya kuzingatia kabla ya kuleta mifugo (kuku, ng'ombe,mbuzi n.k) wapya bandani

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… 2022-03-16 03:49:00πŸ’¬ 0 comments⏱️ ~1 min read
πŸ“„ PDF
Mambo hayo ni haya yafuatayo; 1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba, 2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea. 3. Ondoa uchafu wote unaoonekana bandani. 4. Safisha banda lote kwa kutumia maji na dawa. 5. Suuza na uache likauke. 6. Puliza dawa ya kuua wadudu. 7. Weka matandazo mapya, 8. Weka viombo vya kulishia na kunyweshea.
πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

0 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
No comments yet.