Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Vichekesho vya kukuondoa mawazo leo

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Soma vichekesho hivi;

Mwizi wa atm

Jamaa aliibiwa kadi yake ya benk akaulizwa kama ameripoti polisi akajibu "sijaripoti bado, mwizi mwenyewe hamfikii matumizi kama mke wangu.

Cheka kidogo

Njia rahisi kusahau matatizo yako (japo kwa muda mfupi) vaa viatu vinavyokubana.

Mlizi mbio mbio

Tulikuwa bar moja jana mlinzi kaingia spidi, akamwambia jamaa mmoja aliyekaa kaunta, Mlinzi: Mzee gari lako limeibiwa Mzee: Umemtambua aliyeiba? Mlinzi: Hapana lakini nimeandika namba za gari hizi hapa.

13, 13โ€ฆ

Jamaa alikuwa anapita nje ya wodi ya vichaa akasikia mtu anasema, 13, 13, 13, 13, 13, 13,โ€ฆ.. akaamua kuchungulia kwenye kitundu alichokiona ajue kuna nini, ile kuchungulia tu akamwagiwa mchanga wa machoni, sauti ikabadili ikaanza 14,14,14,14,14โ€ฆโ€ฆ

WATAALAM

Jamaa alikuwa anaumwa sana, mkewe akamwita daktari, alipofika akamkuta jamaa kafumba macho;
Dokta: Huyu mbona amekwisha kufa?
Jamaa: Sijafa bwana
Mke: Hebu nyamaza bwana acha kubishana na wataalamu.

Ya leo mgonjwa

Dokta alipotembelea wodi ya mgonjwa wake aliyepata ajali. Mgonjwa akiwa amening'inizwa mikono juu akauliza "dokta ntaweza kweli kupiga kinanda nkitoka hospitali?"
Dokta: Bila shaka utaweza, wewe ni mpiga kinanda mzuri enh?
Mgonjwa: Hapana sijawahi kabisa bado.

4WD

Mwanaume alimnunulia pete ya almasi mkewe, rafiki akauliza "si ulisema anapenda gari yenye four wheel drive, mbona umenunua pete?" Mume akajibu "unadhani wapi ntapata rav4 feki?"

Ajali ilivyotokea

Trafiki polisi akihoji palipotokea ajali "ahaa! Sasa naanza elewa embu nielezee jinsi ajali ilivyotokea wewe ukiwa kama dereva mhusika." Dereva akajibu "hata sikumbuki nlifumba macho"

Faini ya kukojoa

Polisi alimdaka jamaa anakojoa pembezoni mwa ukuta.
Polisi: Wewe unajua panakatazwa kukojoa hapa?
Jamaa: Sasa nimebanwa nifanyaje?
Polisi: Faini yake elfu tano.
Jamaa akatoa noti ya elfu 10.
Polisi: Sasa chenji tunaipataje?
Jamaa: Tafuta chenji unipe changu.
Polisi: Basi kojoa tenaโ€ฆ

Mume anaenda kazini

Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake, kufika njiani hali ilikuwa mbaya kaamua kurudi. Kafika home kavua nguo kaingia tena kitandani, kamnong'oneza mkewe aliyekuwa usingizini; "Yaani hali ya hewa huko nje mbaya sana" Mke: Si ndio nimemshangaa huyu mpumbavu eti kaenda kaziniโ€ฆ

Hasira za mtoto

Baba na mtoto:
Baba: Mwanangu ukiwa na hasira unafanya nini?
Mtoto: Naenda chooni.
Baba: Chooni? Kufanya nini?
Mtoto: Kusafisha.
Baba: Halafu ndio hasira zinaisha?
Mtoto: Ndio. Nasafisha choo kwa mswaki wako.

Mgonjwa na Dokta

Mgonjwa: Dokta nimekuja nahisi ninaumwa Malaria na kifua.
Dokta: Sasa ushajua unaumwa nini hapa umefuata nini kwangu?
Mgonjwa: Sasa si nimekuja kwa dokta.
Dokta: Wanaojua kuwa wanaumwa kama wewe wanapitiliza maabara.

Pilau la bachela

Bachela mmoja aliyekua akiishi kwa muda mrefu peke yake kwenye nyumba aliyopanga siku moja alitaka kupika pilau kwa mara ya kwanza. Sasa asijue nini kinachobadilisha rangi ya wali kuwa rangi ya brown, yeye akapika kama kawaida (wali) kisha wakati wa kula akavaa miwani yenye rangi ambayo ukiuangalia wali unauona kama pilau wakati anakula.

Mwizi na chizi

Mwizi kaiba TV na kuanza kukimbia nayo, kumbe ile nyumba mlikuwa na chizi, akaanza kumkimbiza yule mwizi. Kila mwizi akiongeza mbio chizi nae huyo, mwishowe mwizi akasalimu amri na kusimama, yule chizi akamsogelea na kumwambia.. Daah umesahau remote hii hapa mwizi kafleti.

Chemsha bongo

Baba akimuuliza chemsha bongo mwanae anayesoma shule ya chekechea "haya niambie kitu gani hakiwezi kuliwa wakati wa breakfast?" Mtoto akajibu "hiyo mbona rahisi baba, si lunch na dinner"

AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 282

Please log in or register to comment or reply.
๐Ÿ‘ค Asajo the great User May 8, 2026
I have satisfied with u're comedy thanks!
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 28, 2026
Enjoy kuwa na namba yangu japo maisha ni popote lakini uwezi kuishi chooni <mapenz ulaya africa biashara kama kutoa ni moyo basi kujumlisha ni figo by melky by torong kindimb
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jul 20, 2026
Djmonster255
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jul 5, 2026
Mambo
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jul 5, 2026
Jamani bc toen vchkesho vipya
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jul 5, 2026
Jamani bc toen vipya
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 28, 2026
Enjoy kuwa na namba yangu japo maisha ni popote lakini uwezi kuishi chooni <mapenz ulaya africa biashara kama kutoa ni moyo basi kujumlisha ni figo by melky by torong kindimb
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 28, 2026
hii noma
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 28, 2026
Jamaa alikula chakula bila kusali akaona chakula sio kitamu by chelew hapo torongi kindimba
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 21, 2026
Umetisha
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 26, 2026
BAHATi0702990167
๐Ÿ‘ค Asajo the great User May 8, 2026
I have satisfied with u're comedy thanks!
๐Ÿ‘ฅ Susan Wangari Guest May 22, 2024
Hii joke imenikumbusha enzi zile! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Feb 10, 2026
ni maukali sana
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Feb 28, 2026
WAPI
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 9, 2026
Safi sana
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jul 20, 2026
#Djmonster255
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 15, 2026
hatar
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 24, 2026
Oy niaj apo
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 26, 2026
Mambow
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 22, 2026
Iko poa
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 23, 2026
.
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Feb 9, 2026
PWWW
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jan 29, 2026
Juliana cheyo
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 2, 2026
HATARI
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 9, 2026
Mm leo mke wangu katoka asubuhi namuulizia unaenda
Wap amenijibu nijue yangu yake haya nihusu hapa nipo kumupeleka kwao ambako yanawahusu
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 4, 2026
Nimefurah sana
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 24, 2026
Mamb fat
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Mar 30, 2026
ww mimi fatu unanikumbka
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 9, 2026
Fatu mamb
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Dec 27, 2025
Enzi zip?
๐Ÿ‘ฅ James Kawawa Guest May 9, 2024
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! ๐Ÿ˜†๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Isaac Kiptoo Guest May 4, 2024
๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Mar 4, 2026
Nice
๐Ÿ‘ฅ Esther Nyambura Guest Apr 13, 2024
Mna kipaji cha ucheshi! ๐Ÿ‘๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest May 25, 2026
Xxx
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jul 12, 2026
Mambo mambooo yamedinda mak k yanajiuza
๐Ÿ‘ฅ Andrew Mchome Guest Mar 26, 2024
๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Nancy Kabura Guest Jan 18, 2024
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Mar 7, 2026
Mambo ni fire
๐Ÿ‘ฅ Nancy Kabura Guest Jan 12, 2024
Wow, hii kichekesho ni mshindi kamili! ๐Ÿ†
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 18, 2026
Nimekubali
๐Ÿ‘ฅ Betty Akinyi Guest Nov 1, 2023
๐Ÿ˜† Ninakufa hapa!
๐Ÿ‘ฅ Faith Kariuki Guest Oct 19, 2023
๐Ÿ˜„ Dhahabu ya vichekesho!
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Feb 15, 2026
vichesho vipya
๐Ÿ‘ฅ Catherine Naliaka Guest Oct 11, 2023
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Guest Guest Jun 28, 2026
Tuko
๐Ÿ‘ฅ Jane Muthui Guest Oct 2, 2023
๐Ÿ˜„ Umeshinda mtandao leo!
๐Ÿ‘ฅ Janet Mbithe Guest Sep 11, 2023
Hii imenifurahisha sana! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Lucy Kimotho Guest Sep 6, 2023
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! ๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ James Kawawa Guest Jul 4, 2023
๐Ÿ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About