Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke,
mkewe akakataa, akamwambia baba yake
akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa
zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa
babaake, mwisho babaake akamwambia basi
ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi
hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu!
Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha
kikao cha ndugu wote pande 2,
Mzee akaanza kueleza jaman kijana wetu
anaumwa amepata ugonjwa wa utata hospital
zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga
wa jadi amenipa dawa na ina masharti, inatakiwa
atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye
ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu
alipoolewa ndo kijana wetu atapona!
Kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii
kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote!
Je kina mama nani ataandaa? Walitoka nje
wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake
mzazi wakatoka, akafata mama ake kijana,
mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia
wanaume peke yao! Mzee akamwambia
mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo?
Acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani
umejionea hali halisi.
Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako!
Kijana akazimia!
SOMA TENA KISHA MTUMIE NA MWENZIO.
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa babaake, mwisho babaake akamwambia basi ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu! Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha kikao cha ndugu wote pande 2, Mzee akaanza kueleza jaman kijana wetu anaumwa amepata ugonjwa wa utata hospital zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga wa jadi amenipa dawa na ina masharti, inatakiwa atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu alipoolewa ndo kijana wetu atapona! Kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote! Je kina mama nani ataandaa? Walitoka nje wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake mzazi wakatoka, akafata mama ake kijana, mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia wanaume peke yao! Mzee akamwambia mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo? Acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani umejionea hali halisi. Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako! Kijana akazimia! SOMA TENA KISHA MTUMIE NA MWENZIO.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
238 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda..-Ndio maana nauli ya ndege ni kubwa kuliko ya basi, why..?Kwa sababu ndege hutumia mda mchache (mβ¦
1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unaβ¦
Maziwa ni chakula kikuu cha mtoto punde anapozaliwa. Mama anahitaji kuwa na Maziwa ya kutosha ili mtoto aweze kuwa na afya. Zipo sababu mbalimbali zinβ¦
Leo tutaongelea mazoezi gani ya kawaida ambayo mama mjamzito anaweza kuendelea kuyafanya kila siku ya ujauzito wake na umuhimu wake.Mazoezi wakati wa β¦
Viamba upishiUnga 2 VikombeSamli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supuMaziwa ΒΎ KikombeIliki KiasiMafuta ya kukarangia KiasiShiraSukari 1 KikombeMajβ¦
Jamaa alikuwa amelaa na mkewe saa tisa ya usiku akastuka baada ya kusikia mtu anabisha hodi kwenda kufungua mlango Akamkuta jamaa kalewa sana mlangoniβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate