Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja,
Mhudumu: kaka nikuhudumie nini,
Jamaa: afathal NILETEE MENU LISTI
Mhudumu: dada na wewe?
Demu akajibu kwa pozi tena kwakujishaua, "NA MIMI NILETEE MENU LIST ILA USIWEKE CHUMVI NYINGI"
Chezea mbulula weweβ¦!!!
Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja, Mhudumu: kaka nikuhudumie nini, Jamaa: afathal NILETEE MENU LISTI Mhudumu: dada na wewe? Demu akajibu kwa pozi tena kwakujishaua, "NA MIMI NILETEE MENU LIST ILA USIWEKE CHUMVI NYINGI" Chezea mbulula weweβ¦!!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.Hodiiiiii, Hodiiiii,Tunβ¦
Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesaβ¦Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huuβ¦..Wanavyopenda helaππππππππ
Neno kwaresma ni neno la kilatini liitwalo Quadragesima maana yake ni arobaini(40). Mpenzi msomaji, katika maisha ya kikristo kuna kipindi cha siku 40β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate