Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana."
Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!"
Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa mfano kuku, kalimati, keki, kabab, katleti, kashata, kisheti na karoti."
Nikashusha pumzi. "Ahaa! Kumbe ndo hivyo, ni kweli!"
Zuzu akanitupia swali. "Kwani we anko ulidhani nini?"
Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana." Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!" Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa mfano kuku, kalimati, keki, kabab, katleti, kashata, kisheti na karoti." Nikashusha pumzi. "Ahaa! Kumbe ndo hivyo, ni kweli!" Zuzu akanitupia swali. "Kwani we anko ulidhani nini?"
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mimi Nimecheka sanaππππππππππZIARA ZA KUSHTUKIZAππMimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chacheβ¦
Wakati wa kufanya tendo la ndoa wapo baadhi ya watu hupatwa na maumivu wakati au baada ya kushiriki tendo, Maumivu haya yaweza kuwa;- Wakati tu uume uβ¦
Uwatu ni dawa nyingine ya asili inayotumika kutibu chunusi. Uwatu unaondoa sumu na maambukizi mbalimbali.Hizi ni hatua chache za kutibu chunusi kwa kuβ¦
Mara nyingi tumekua tukiomba lakini hatupati, sababu zinaweza zikawa hizi ;1. Mawazo na matarajio yetuMara nyingi tunajifunga kwenye maombi yetu pale β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate