Angalia kilichotokea
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki β¦!!!
Angalia kilichotokea Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !! Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki β¦!!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Upo kwenye chumba cha mtihani,maswalii yamekupiga kinyamaUnaamua kuchukua smartphone ugoogle kisha ucopy na kupaste kwenye booklet yako,Ghagfla lecturβ¦
Peasi ni tunda ambalo limekuwa halithaminiwi licha ya kuwa na faida lukuki katika mwili wa binadamu. Tunda hilo ambalo kwa umbo linafanana na tufaa (aβ¦
Upendo wa kweli hauambatani na chuki. Huwezi kusema una Upendo wakati kuna watu wengine unawapenda na wengine unawachukia. Ni sawa na kusema kitambaa β¦
MahitajiBilinganya 2 za wastaniNyanya kubwa 1Kitunguu maji 1 kikubwaSwaum 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/4Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chaiParpika 1/4 β¦
Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake.#Jamaa: kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaonaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate