Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..
Sipendagi kuchezea salio..
πππππ
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..Sipendagi kuchezea salio..πππππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Bangi si mchezo! Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo! Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti! then akaenda kama aliβ¦
Utangulizi Namna pekee ya kuwa na Amani ni kuishi Mapenzi ya Mungu, Kwa njia hii Moyo wako hautafadhaika, hautayumbishwa na hautajuta kwa kuwa utakua β¦
Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu,yalikua hivi:-1.Jasho la nyoka.2.Manyoya ya mende.3.Sisimizi Shoga.4.β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate