Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
"Honey kama upo nyumbani umelala naomba unitumie ndoto
zako,
Kama unakula nitumie chakula, Kama unacheka nitumie kicheko
chako,
Kama unalia nitumie machozi yako,Kama unatoa pesa kwenye
A.T.M nitumie pesa." Boyfriend akajibu "NIKO CHOONI LABDA
NIKUTUMIE KINYESI MPENZI!!
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya kimahaba "Honey kama upo nyumbani umelala naomba unitumie ndoto zako, Kama unakula nitumie chakula, Kama unacheka nitumie kicheko chako, Kama unalia nitumie machozi yako,Kama unatoa pesa kwenye A.T.M nitumie pesa." Boyfriend akajibu "NIKO CHOONI LABDA NIKUTUMIE KINYESI MPENZI!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kila mtu ni mrithi wake yeye mwenyewe. Mafanikio yako ya baadae ni urithi wako ulioutengeneza hapo awali. Utajiri wako wa sasa unatokana na uliyoyawekβ¦
ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibikamoyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufausiozibika.rudi mpenzi unautesa mtima wa moyo waβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate