Mzee kaingia pharmacy,
MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?β¦.Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka β¦majimaji yaliyomo kwenye
kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja;
MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili?
MFAMASIA: Kama chumvichumvi
MZEE: Hakuna sukari
MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa
MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo
Mzee kaingia pharmacy, MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA: Kitu gani?β¦.Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka β¦majimaji yaliyomo kwenye kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja; MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili? MFAMASIA: Kama chumvichumvi MZEE: Hakuna sukari MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
238 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira2.Dogo mnene Lazima awe golikipa3.Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze 4.kama haujashirikiβ¦
Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo (organs) fulani mwiliniβ¦
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbonβ¦
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyonimwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio uβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate