Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kaziππ

π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
240 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ugumba ni nini ?Hii ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata ujauzito. Ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisaβ¦
01.π Wale wanafunzi walioongozaMashuleni, wanaenda kwenyeEngineering na Medical school.02.π Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwaβ¦
Wapo baadhi ya watu wanashindwa hata kuachia kicheko chenye bashasha hii ni kwa sababu meno yao yamekuwa na rangi, hivyo kuwafanya watu hao kuona aiabβ¦
Mbali ya kuwa ni chanzo kikuu cha Vitamin A, B6, C, βPotassiumβ, βMagnesiumβ na virutubisho vingine kibao, tunda hili pia lina virutubisho vingine vyeβ¦
Kware au Kwale au Kereng'ende ni jamii ya ndege ambao kwa sasa wanafugwa majumbani na wanaotaga mayai kama kuku ama bata na kwa wingi sana. Ndege hawaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate