Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!..
Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!..
Wakwanza alikuwa MUHINDI, wa pili MCHINA na MBONGO!β¦
MUHINDI: "ntajenga kwa milioni 90!.., 40 za vifaa, 40 za mafundi na milioni 10 faida yangu"
MCHINA: "mi ntajenga kwa milioni 70!.., 30 za vifaa, 30 za mafundi na milioni 10 faida yangu"
MBONGO kuona vile akamvuta chemba msimamizi wa Magogoni!..
MBONGO: "mi ntajenga kwa milioni 270"
MSIMAMIZI WA MAGOGONI: "we una wazimu nn!.. yaani unathubutu kusema hivyo na unaona wenzako wametaja kiwango kidogo?!."
MBONGO: "milioni 100 zako, 100 zangu alafu hiyo milioni 70 tunaajiri yule mchina"
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!.. Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!.. Wakwanza alikuwa MUHINDI, wa pili MCHINA na MBONGO!β¦ MUHINDI: "ntajenga kwa milioni 90!.., 40 za vifaa, 40 za mafundi na milioni 10 faida yangu" MCHINA: "mi ntajenga kwa milioni 70!.., 30 za vifaa, 30 za mafundi na milioni 10 faida yangu" MBONGO kuona vile akamvuta chemba msimamizi wa Magogoni!.. MBONGO: "mi ntajenga kwa milioni 270" MSIMAMIZI WA MAGOGONI: "we una wazimu nn!.. yaani unathubutu kusema hivyo na unaona wenzako wametaja kiwango kidogo?!." MBONGO: "milioni 100 zako, 100 zangu alafu hiyo milioni 70 tunaajiri yule mchina"
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
1. Uelekeo ni muhimu kuliko kasi. Ni heri kwenda taratibu katika Uelekeo sahihi, kuliko kwenda kwa kasi katika Uelekeo usio sahihi.2. Kulalamika mamboβ¦
Wapo baadhi ya watu wanashindwa hata kuachia kicheko chenye bashasha hii ni kwa sababu meno yao yamekuwa na rangi, hivyo kuwafanya watu hao kuona aiabβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate