Hata kama ni Mgeni this is too much.
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka.
Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite?
Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate?
Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka.
Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa,
Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali
mchana.
Chezea mgeni ww.!!!
Hata kama ni Mgeni this is too much. Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda? Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka. Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite? Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa. Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate? Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka. Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa, Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali mchana. Chezea mgeni ww.!!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu..Mume: Nitafanya kama yesu..Mke: Unamaanisha Nini?Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3..Mke: Unanishangaza,β¦
Miguu ni sehemu mojawapo inayotoa jasho sana hivvo ni vema kuiweka mikavu kuzuia ukuaji wa bacteria au fungus.Wakaka tunajua umuhimu wa soksi au tunavβ¦
Watu wengi wanajiuliza, βSiri ya utajiri ni nini?β Je ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri? Siri kubwa ya utajiri ni kujifunza elimu yaβ¦
Sala ya kanisa ni nini? Sala ya kanisa ni sala maalumu wasaliyo Maklero, Watawa, na Walei kwa ajili ya Kanisa zima Vyanzo vya sala za Kikristo Vyanzo β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate