JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.
Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali",
Wakapiga magotiβ¦:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emenβ¦
MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko.
MUME: Emenβ¦
MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe.
MUME: Kimyaβ¦
MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako bwana.
MUME: β¦β¦.!!
MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani sasa hayo!!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe.
Chezea mawaifu walokole wewe!
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo. Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali", Wakapiga magotiβ¦: MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake. MUME: Emenβ¦ MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko. MUME: Emenβ¦ MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe. MUME: Kimyaβ¦ MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako bwana. MUME: β¦β¦.!! MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali. MUME: Maombi gani sasa hayo!!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe. Chezea mawaifu walokole wewe!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry).MahitajiKuku mzimaNyanya kubwa 3Karoti mbiliPilipili hohoKotmiriTangawiziKβ¦
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid aβ¦
Vipimo Vya Ugali:Unga wa mahindi/sembe - 4Maji - 6 takribanNamna Ya Kutayarisha Na KupikaChota unga kidogo katika kibakuli uchanganye na maji kidogo .β¦
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez.Lakin siri ya mafanikio ni uvumiliβ¦
Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboniyangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokeakutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe maβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate