Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele.Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia.Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lakoKibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!.kanisa zima hoi,
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama naliku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlohaliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki β¦
JE,SHERIA YA MAPADRE KUTOOA NA KUISHI USEJA IMEANDIKWA WAPI KATIKA BIBLIA AU IMETUNGWA TU NA PAPA?Pengine umewahi kuulizwa swali hili wakati fulani.Naβ¦
MahitajiUnga wa mchele ( Vikombe 2 vikubwa)Sukari (Nusu ya kikombe kikubwa)Hamira ( Nusu ya kijiko cha chai)Hiliki (Nusu ya kijiko cha chai)Tui la nazβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate